On air show kubwa kuliko na BEIRA BABY BOY IN THE HOUSE NIGGA

wazo zuri ila ongeza ubunifu....maandishi hayavutii ....pia epuka utimu (kuna sehem nmeona mbumbufu fc , mnyama kiba n.k) unapokua reporter try kubalansi story !!

kuna mdau kashauri hapo uweke segments...itavutia zaidi!

vinginevyo tupo pamoja
 
sawa mkuu lakin mimi sina team maana huwa naona watu wanamuita diomnd ni domo na alikiba ni king kiba
 
Back
Top Bottom