Huyo kadagala sijui katokea shinyanga sehemu gan yeye hajui kama kila jukwaa lina kaz yakeJukwaa la Jamii Photo unalijua? Kule mwendo wa picha mkuu, kwa hiyo ni Instagram?
Hapa ni mkusanyiko wa matukio ya wiki nzima yakiambatana na vielelezo japo kwa picha
Hii itakuwa njema sana mkuu ukifanya ivyoGood iboreshe itakua bomba mi nataka nije na kitu cha magazeti asubuhi kila siku
Kwenu wapi? Milimani niniJina la kule kwetu hili
Huwa nipo kule kwa sababu kuna watu wengi huwa tunapiga story za hapa na pale ukiachana na likesMara nyingi nakuonaga sana kule kwenye malike utakuwa unapenda sana malike
Ya upareni mkuuMilima ni mingi sana mkuu unazungumuzia milima ipi
Chakuongeza mfano hapo kwa hamonenga na wolper unaweza weka screenshot za yaliyotokea the same to beyonce kama kuna mtandao wowote ulio ripoti basi weka pia ushahidi wa maneno yaani screenshot au picha,pia malizia habari mfano hapo kwa mayweather alisema yeye ana mademu 7 basi ungemalizia kabisa. Pia ukiwa ripota hivi usibase upande kama domo na kibakuli..
Huo ndio ushauri wangu,lakini ni kitu kizuri sana nimependa.
Nime subscribe anyway.
Ha ha ha ha. Ukaenda hakikisha,hata mimi sijaisikia hiyo. Toka Bey ajifungue hajaongea zaidi tu kuwa spotted maeneo mbalimbali,kuwatembelea waahtirika wa kimbunga hivo.Kama kuna page moja hivi Instagram anajiita entertainment_Tanzania anaripoti aisee siachi kupita kila siku...Great advise, make baada ya kuitaja issue ya Beyonce nimeenda TMZ nikakuta hakuna chochote kilichoandikwa juu ya hiyo issue, so ni muhimu baadhi ya taarifa akawa anaweka source.
Ni thread nzuri sana, akiweza kuipangilia tutapunguza mambo ya kuzunguka zunguka kutafuta taarifa.
Nimekuelewa vizur sana dada yangu afu leo ndo nilikuwa naanza hivyo nilijua hata watu wataniona mzugaji tu lakin next week utapenda mwenyewe maana nimeona watu wamependa hii kituChakuongeza mfano hapo kwa hamonenga na wolper unaweza weka screenshot za yaliyotokea the same to beyonce kama kuna mtandao wowote ulio ripoti basi weka pia ushahidi wa maneno yaani screenshot au picha,pia malizia habari mfano hapo kwa mayweather alisema yeye ana mademu 7 basi ungemalizia kabisa. Pia ukiwa ripota hivi usibase upande kama domo na kibakuli..
Huo ndio ushauri wangu,lakini ni kitu kizuri sana nimependa.
Nime subscribe anyway.
Asante sana kwa suscribe mpendwa week ijayo sitakuangushaChakuongeza mfano hapo kwa hamonenga na wolper unaweza weka screenshot za yaliyotokea the same to beyonce kama kuna mtandao wowote ulio ripoti basi weka pia ushahidi wa maneno yaani screenshot au picha,pia malizia habari mfano hapo kwa mayweather alisema yeye ana mademu 7 basi ungemalizia kabisa. Pia ukiwa ripota hivi usibase upande kama domo na kibakuli..
Huo ndio ushauri wangu,lakini ni kitu kizuri sana nimependa.
Nime subscribe anyway.