On air show kubwa kuliko na BEIRA BABY BOY IN THE HOUSE NIGGA

Jukwaa la Jamii Photo unalijua? Kule mwendo wa picha mkuu, kwa hiyo ni Instagram?

Hapa ni mkusanyiko wa matukio ya wiki nzima yakiambatana na vielelezo japo kwa picha
Huyo kadagala sijui katokea shinyanga sehemu gan yeye hajui kama kila jukwaa lina kaz yake
 
Dah safi sasa naweza kupata highlights ya matukio badala ya kutembelea kila forum
Ndo hivo mkuu next week ndo itakuwa show kubwa kuliko matukio yote nitayapanga kwa mpangilio na mtiririko ulio bora zaid
 
Chakuongeza mfano hapo kwa hamonenga na wolper unaweza weka screenshot za yaliyotokea the same to beyonce kama kuna mtandao wowote ulio ripoti basi weka pia ushahidi wa maneno yaani screenshot au picha,pia malizia habari mfano hapo kwa mayweather alisema yeye ana mademu 7 basi ungemalizia kabisa. Pia ukiwa ripota hivi usibase upande kama domo na kibakuli..

Huo ndio ushauri wangu,lakini ni kitu kizuri sana nimependa.
Nime subscribe anyway.
 
Great advise, make baada ya kuitaja issue ya Beyonce nimeenda TMZ nikakuta hakuna chochote kilichoandikwa juu ya hiyo issue, so ni muhimu baadhi ya taarifa akawa anaweka source.

Ni thread nzuri sana, akiweza kuipangilia tutapunguza mambo ya kuzunguka zunguka kutafuta taarifa.
 
Ha ha ha ha. Ukaenda hakikisha,hata mimi sijaisikia hiyo. Toka Bey ajifungue hajaongea zaidi tu kuwa spotted maeneo mbalimbali,kuwatembelea waahtirika wa kimbunga hivo.Kama kuna page moja hivi Instagram anajiita entertainment_Tanzania anaripoti aisee siachi kupita kila siku...
 
Iko poa mwanzo mzuri ....ifanyie maboresho itabamba
 
Chakuongeza mfano hapo kwa hamonenga na wolper unaweza weka screenshot za yaliyotokea the same to beyonce kama kuna mtandao wowote ulio ripoti basi weka pia ushahidi wa maneno yaani screenshot au picha,pia malizia habari mfano hapo kwa mayweather alisema yeye ana mademu 7 basi ungemalizia kabisa. Pia ukiwa ripota hivi usibase upande kama domo na kibakuli..

Huo ndio ushauri wangu,lakini ni kitu kizuri sana nimependa.
Nime subscribe anyway.
Nimekuelewa vizur sana dada yangu afu leo ndo nilikuwa naanza hivyo nilijua hata watu wataniona mzugaji tu lakin next week utapenda mwenyewe maana nimeona watu wamependa hii kitu
 
Chakuongeza mfano hapo kwa hamonenga na wolper unaweza weka screenshot za yaliyotokea the same to beyonce kama kuna mtandao wowote ulio ripoti basi weka pia ushahidi wa maneno yaani screenshot au picha,pia malizia habari mfano hapo kwa mayweather alisema yeye ana mademu 7 basi ungemalizia kabisa. Pia ukiwa ripota hivi usibase upande kama domo na kibakuli..

Huo ndio ushauri wangu,lakini ni kitu kizuri sana nimependa.
Nime subscribe anyway.
Asante sana kwa suscribe mpendwa week ijayo sitakuangusha
 
Back
Top Bottom