On air show kubwa kuliko na BEIRA BABY BOY IN THE HOUSE NIGGA

Ha ha ha ha. Ukaenda hakikisha,hata mimi sijaisikia hiyo. Toka Bey ajifungue hajaongea zaidi tu kuwa spotted maeneo mbalimbali,kuwatembelea waahtirika wa kimbunga hivo.Kama kuna page moja hivi Instagram anajiita entertainment_Tanzania anaripoti aisee siachi kupita kila siku...

Nimeshangaa kwa sababu hiyo taarifa isingenipita, make ni mfuatiliaji mkubwa wa mtandao wa TMZ, ambao nadhani ni moja ya kina Shigongo wa USA Baby.

Jay Z ali-address issue ya kucheat kwenye wimbo wa Kill Jay Z kwenye albuma mpya ya 4:44 ambayo kaitoa miezi kama miwili hivi, hata hivyo sijaona mahali popote ambapo Bey amerespond chochote juu ya hiyo issue.
 
Mkuu nilikuwa naongeza wingi wa habar, week ijayo tegemea mambo mazur
 
Okay, ili ibambe vizuri inabidi habari nyingi ziwe za kweli na hata tukienda kuzitafuta kwingine tuzikute, yaani hata kama ni tetesi ziwe tetesi ambazo kwingine pia zipo.

Hiyo itakuongezea mashabiki sana, na ikiwezekana uruhusu wadau kuongeza taarifa zingine ambazo zimehit na probably hukuzinyaka.

All the best.
 
Sawa mkuu tena hapo kwenye kuruhusu habar zingine kutoka kwa wadau wengine ndo itakaa poa sana

hapa niko nachukua maon iki week ijayo mambo yawe poa zaid
 
Nimekuelewa vizur sana dada yangu afu leo ndo nilikuwa naanza hivyo nilijua hata watu wataniona mzugaji tu lakin next week utapenda mwenyewe maana nimeona watu wamependa hii kitu

No hauja zingua hata kidogo
 
Safi sana mkuu nakuunga mkono.

Nimependa kauli ya MYWEATHER naiunga mkono 100%.
 
Back
Top Bottom