Obama ni Rais in waiting. Kumuita Mbowe,ambaye Chama chake kina wabunge 6 tu bungeni,Rais in waiting,this is a joke.
Kuhusu nani anafaa kuiongoza Chadema,kati ya Zitto na Mbowe,hilo ni jambo ambalo Chadema wenyewe wanapaswa kuamua,na wanazo chaguzi kuamua mambo hayo,sasa wewe,Majita sijui unasumbuliwa na nini. Kwa sababu wao hawajasema kama wana matatizo yoyote.
Kuhusu kuwafukuza wanafunzi na kuwapeleka kwa wazazi wao,that is a joke. Katika Siasa ya Ujamaa,by definition,watoto hawana mzazi yeyote zaidi ya Serikali. Na Socialism ndiyo siasa ya Tanzania,hata kama yamekuwepo marekebisho machache.
Serkali imeonyesha lack of leadership,swali linalopaswa kuulizwa sasa ni moja tu,nani anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2010.
CCM wanasema kwamba watamrudisha Jakya Kikwete. Huyu ni Rais ambaye ameingia madarakani wakati watu walikuwa na matumaini makubwa sana. Not unlike Barak Obama. Watu walifurahi sana,hasa vijana,kuona mtu mwenye akili nzuri,na sura nzuri anachaguliwa kuwa Rais,hili jambo liliwafurahisha sana vijana.
Tatizo ni lack of leadership.Senator wa Marekani akitoa e-mail ili watu wa Jimbo lake waweze kuwasiliana naye,anaajiri watu kumi,all of them graduates,kazi yao ni kuzijibu tu zile e-mail. Lakini kiongozi wa Tanzania,ni mambo yale tu anayoweza kufanya kwa kuhangaika na mobile phone yake,ndiyo yanafanyika.
Kama kuwezi kujibu correspondence za raia,how can you govern? Kama correspondence zinakuja like a barrage of missile attacks,lazima zijibiwe.
Au zikiandikwa complaints katika gazeti,hizi letters to the Editor,nani anazifuatilia? Ukiwa out of touch with the people,lazima itatokea migomo,au maandamano.
In the West,viongozi wanfanya kazi kwa kuwatumia speech writers. Yaani kiongozi anaeleza outline ya jambo analotaka kusema,halafu speech writers wanamsaidia kuifanya ile kazi. Hapa Tanzania hali siyo hivyo. Kiogozi hataki kusaidiwa. Ni kama vile timu ya mpira wa miguu. Wanafikria wakicheza wachezaji kumi badala ya 11,wakishinda,watakuwa na hela nyingi zaidi za kugawana.
Ndio wakati wa Kampeni ya Urais,Kennedy alipokuwa anashindana na Nixon,wakati wa debate,Nixon alikuwa encumbent Vice President,anagombea kuwa Rais. Kennedy akamuuliza Nixon,kwamba yeye Kenndey,in his travels across the world,he has noticed that people are not interete to know about what the US President is doing. They just want to know about Kruschev,or about the Chinese,anamuuliza Nixon,why is this so?