On Philosophy!

On Philosophy!

Averos

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2010
Posts
993
Reaction score
703
Nimukuwa nafuatilia falsafa na wanafalsafa kwa ukaribu sana, na minegundua kuwa wanafalsafa wengi wanahusishwa na nchi ya Ugiriki. Wanafalsafa wote wakuu wanaonekana kutokea Ugiriki, ukianzia kwa Thales, anaximader, anaximines, anaxigoras, pythagoras, pratagoras, trithimachus, Socrates, Plato, Aristotle, na wengineo.

Pamoja na kuwepo kwa Philisophers kutoka nchi nyengine lakini hawa wa Ugiriki wanaonekana kuwa dominant sana!, Sijua siri ya jambo hili ni nini?
 
Back
Top Bottom