aah nlikuwa nakukumbusha tu ............ maana tangu jamvi lileee la 47 ............. hahah LOLWait a minute......let me check ... hivi mie Mdigo eh??
Kwangu mie limbwata naidefine kama dawa ya kumfanya mpenzio akupende wewe tu asione wengine and ukijiuliza sana kwa nini unamwekea limbwata jibu ni kuwa unampenda (achilia mbali wale walio kwa ajili ya kuchuna/faidika) au??
Mie sio wa huko so kama umenidanganya hapo kwenye definition shauzi zako hahah on a serious note, kama tulishapenda, kwanini unakosa confidence? na je kwa nini na wewe usinywe/le hilo limbwata ili wote tupendane maana kwa mtazo wangu hapa (poor me) ni kwambi mie
ndio nikupenda wewe tuuu hata ukifanya nini .........kwani tusile wote ili tupendane sisi tu............mie naona imekaa kiujasiria mali zaidi:eyeroll1:
Kwa nini lakini utumie dawa kumfanya mpenzio akupende? Kwani hawezi tu kukupenda for who you are hadi utumie mitishamba? Huwezi kupendeka bila msaada wa dawa?
aah nlikuwa nakukumbusha tu ............ maana tangu jamvi lileee la 47 ............. hahah LOL
Kukuona humu naamini umevuka mwaka salama na junior wetu?!
It is very possible mydia....ndo mana nikasema on second thought.mimi pia siamini katika mapenzi ya dawa najaribu tu hapa kuitumia kama mojawapo ya mambo ambayo watu wanafanya kuwafanya wapenzi wao wawapende na kutulia nao (though siamini kama huwa inafanyaga hivyo kiukweli) ............. natizama zaidi madhumuni ya mwekaji.......je kama limbwata lingekuwa la kawaida (halina madhara katika akili au afya) lingekuwa tu kama chochote kile ambacho mtu anafanya katika ile going an extra mile for love........tungelichukuliaje??
Okay aksante Jaluo-nyeupe
So limbwata baya ni lile linalofanya uwe zoba?? Je hakuna yale yanayofanya mwanaume/mke asipende mwingine zaidi yako??
Duh kama wangekuwa wanatumia pasipo kuharibu...yaani kukufanya uwe zoba na wao kufanya lolote......................umpende tu, ungekubali??
Nakubali mapenzi yatoke moyoni but it is the same love toka moyoni lililoniofanya nikulimbwate ili nisiibiwe au kukupoteza loh
Just on the second thought
Mie unajua nakumpenda buree bila limbwata .............. nilikuwa mjini Decemba na vijana, sikuweza kupita huko, siju hata ni wapi siku hizi; ila dada J nilimuona. Kama unalo limbwa la kunywa sisi sote mie nikoMh GFM...... mbona wantisha weye.....nkutilie limbwata nini useme yote?? hahahah Tunashukuru MUNGU tumevuka, junia mzima kabisa
Tatizo jingine ni kwamba unapewa/lishwa kwa siri, hivi huoni hapa kuna shida? ...........eee Rosa ee Rosa.Hahahah okay pengine mwekaji anajiamini kuwa yeye anakupenda sana kuliko wewe umpendavyo na anaamini kuwa akikuwekea s/he will have all of you by her/him self......... Je lingekuwepo la kunywa wote ungelichukuliaje??
Mie unajua nakumpenda buree bila limbwata .............. nilikuwa mjini Decemba na vijana, sikuweza kupita huko, siju hata ni wapi siku hizi; ila dada J nilimuona. Kama unalo limbwa la kunywa sisi sote mie niko
tayari hahaha LOL
Anecdotally, are there any success stories of limbwata that you know of?
si ndio mambo ya limbwata haya .............. unaona hata wewe mwenyewe yanakutisha hahah. NY ni shwari, ukiwa na muda tuta-catch up maana ni siku nyingi. Nisikuache na maswali, Marahaba pia nilimwona, nowLoh sasa wewe unanlimbwata mie........ndo nini hivi?? nikuvutie chhemba nini??
Sawa Babu ........mi sikuwa najua kuwa huwa linatumika kihivyo but kama lingekuwa halitumiki kihovyo....unawekewa ili tu umpende bibi yangu usimwone mwanamke mwingine....lingekuwa zuri??
My dear GOD..........hata siamini is it you my bro?? uwiii hapana mie sie wanifananisha loh!! Yes MArahaba nlikuwa nachat naye leo ah...... not fair at all kaka. But am glad lol...........jamani nammiss Dommysi ndio mambo ya limbwata haya .............. unaona hata wewe mwenyewe yanakutisha hahah. NY ni shwari, ukiwa na muda tuta-catch up maana ni siku nyingi. Nisikuache na maswali, Marahaba pia nilimwona, now
u can connect the dots.............
Njoo kwetu Ukune,kuna limbwta linaitwa Lukomolwa,ukimwekea hilo mpenzi wako kama ni mwanaume hataona mwanamke mwingine,na kama ni mwanamke hataona mwanaume mwingine.
mjukuu shida ya limbwata ni kua utafanyiwa vituko hata kuletewa njemba ndani na hufanyi kitu.. Lol
Inawezekana kua kuna limbwata lakupenda tu... Lakini wengi wao wanatumia limbwata kwa faida za binafsi kama; kumu control mpenzi wako kufanya kitu chochote.. Nahata asijue wakati ana saidiwa nje...
Lakini mwisho wa siku ni kupendana ama kutopendana...
na kama hatafanya vituko je? Ni ruksa?
Mie staki kuamini hiyo sababu, nadahi wanaitumia kama "scape goat" tu ......... (najua nyie mwayajua zaidi)Definitely sina ..............wala I dont believe on it but...on second thought.......... ninasikia kuna wanaotoa tigo ili mpenzi asitoke nje si ndio?? Its not good (Kama ni kweli) ....but they do that basing on their assumptions.........and some people approves.......why not limbwata?? The purposes are the same .... arent they??