On Second Thought

On Second Thought

Wait a minute......let me check ... hivi mie Mdigo eh??
aah nlikuwa nakukumbusha tu ............ maana tangu jamvi lileee la 47 ............. hahah LOL
Kukuona humu naamini umevuka mwaka salama na junior wetu?!
 
Kwangu mie limbwata naidefine kama dawa ya kumfanya mpenzio akupende wewe tu asione wengine and ukijiuliza sana kwa nini unamwekea limbwata jibu ni kuwa unampenda (achilia mbali wale walio kwa ajili ya kuchuna/faidika) au??

Kwa nini lakini utumie dawa kumfanya mpenzio akupende? Kwani hawezi tu kukupenda for who you are hadi utumie mitishamba? Huwezi kupendeka bila msaada wa dawa?
 
Mie sio wa huko so kama umenidanganya hapo kwenye definition shauzi zako hahah on a serious note, kama tulishapenda, kwanini unakosa confidence? na je kwa nini na wewe usinywe/le hilo limbwata ili wote tupendane maana kwa mtazo wangu hapa (poor me) ni kwambi mie
ndio nikupenda wewe tuuu hata ukifanya nini .........kwani tusile wote ili tupendane sisi tu............mie naona imekaa kiujasiria mali zaidi:eyeroll1:

Hahahah okay pengine mwekaji anajiamini kuwa yeye anakupenda sana kuliko wewe umpendavyo na anaamini kuwa akikuwekea s/he will have all of you by her/him self......... Je lingekuwepo la kunywa wote ungelichukuliaje??
 
Kwa nini lakini utumie dawa kumfanya mpenzio akupende? Kwani hawezi tu kukupenda for who you are hadi utumie mitishamba? Huwezi kupendeka bila msaada wa dawa?

It is very possible mydia....ndo mana nikasema on second thought.mimi pia siamini katika mapenzi ya dawa najaribu tu hapa kuitumia kama mojawapo ya mambo ambayo watu wanafanya kuwafanya wapenzi wao wawapende na kutulia nao (though siamini kama huwa inafanyaga hivyo kiukweli) ............. natizama zaidi madhumuni ya mwekaji.......je kama limbwata lingekuwa la kawaida (halina madhara katika akili au afya) lingekuwa tu kama chochote kile ambacho mtu anafanya katika ile going an extra mile for love........tungelichukuliaje??
 
aah nlikuwa nakukumbusha tu ............ maana tangu jamvi lileee la 47 ............. hahah LOL
Kukuona humu naamini umevuka mwaka salama na junior wetu?!

Mh GFM...... mbona wantisha weye.....nkutilie limbwata nini useme yote?? hahahah Tunashukuru MUNGU tumevuka, junia mzima kabisa
 
It is very possible mydia....ndo mana nikasema on second thought.mimi pia siamini katika mapenzi ya dawa najaribu tu hapa kuitumia kama mojawapo ya mambo ambayo watu wanafanya kuwafanya wapenzi wao wawapende na kutulia nao (though siamini kama huwa inafanyaga hivyo kiukweli) ............. natizama zaidi madhumuni ya mwekaji.......je kama limbwata lingekuwa la kawaida (halina madhara katika akili au afya) lingekuwa tu kama chochote kile ambacho mtu anafanya katika ile going an extra mile for love........tungelichukuliaje??

Anecdotally, are there any success stories of limbwata that you know of?
 
Okay aksante Jaluo-nyeupe
So limbwata baya ni lile linalofanya uwe zoba?? Je hakuna yale yanayofanya mwanaume/mke asipende mwingine zaidi yako??
Duh kama wangekuwa wanatumia pasipo kuharibu...yaani kukufanya uwe zoba na wao kufanya lolote......................umpende tu, ungekubali??

Nakubali mapenzi yatoke moyoni but it is the same love toka moyoni lililoniofanya nikulimbwate ili nisiibiwe au kukupoteza loh
Just on the second thought

sina hakika kama lipo, nachojua limbwata linaharibu akili yote na unakuwa kama zezeta we ni wa kupewa amri na mkeo tu.

Lakini lina mwisho wake, je likiisha nguvu unadhani hiyo ndoa yako itakalika tena?

Mwisho kama wewe una hofu ya Mungu, ushirikina na dhambi so sioni haja kabisa ya kumwekea mumeo limbwata.
 
Mh GFM...... mbona wantisha weye.....nkutilie limbwata nini useme yote?? hahahah Tunashukuru MUNGU tumevuka, junia mzima kabisa
Mie unajua nakumpenda buree bila limbwata .............. nilikuwa mjini Decemba na vijana, sikuweza kupita huko, siju hata ni wapi siku hizi; ila dada J nilimuona. Kama unalo limbwa la kunywa sisi sote mie niko
tayari hahaha LOL
 
Hahahah okay pengine mwekaji anajiamini kuwa yeye anakupenda sana kuliko wewe umpendavyo na anaamini kuwa akikuwekea s/he will have all of you by her/him self......... Je lingekuwepo la kunywa wote ungelichukuliaje??
Tatizo jingine ni kwamba unapewa/lishwa kwa siri, hivi huoni hapa kuna shida? ...........eee Rosa ee Rosa.
dawa alokupa mganga ni kutaka kuniua.......... sie vijana wa siku nyingi badao tunaukumbuka huu wimbo.
Kama ya kunywa/la wote na unanijulishwa kwamba tunakula/nya hili linanihii ili tuzidi kupendana wala haitokuwa tabu. Lakini kama nilivyo sema awali naona imekaa kijasiriamali zaidi :eyeroll1:
 
Mie unajua nakumpenda buree bila limbwata .............. nilikuwa mjini Decemba na vijana, sikuweza kupita huko, siju hata ni wapi siku hizi; ila dada J nilimuona. Kama unalo limbwa la kunywa sisi sote mie niko
tayari hahaha LOL

Loh sasa wewe unanlimbwata mie........ndo nini hivi?? nikuvutie chhemba nini??
 
Anecdotally, are there any success stories of limbwata that you know of?

Definitely sina ..............wala I dont believe on it but...on second thought.......... ninasikia kuna wanaotoa tigo ili mpenzi asitoke nje si ndio?? Its not good (Kama ni kweli) ....but they do that basing on their assumptions.........and some people approves.......why not limbwata?? The purposes are the same .... arent they??
 
Loh sasa wewe unanlimbwata mie........ndo nini hivi?? nikuvutie chhemba nini??
si ndio mambo ya limbwata haya .............. unaona hata wewe mwenyewe yanakutisha hahah. NY ni shwari, ukiwa na muda tuta-catch up maana ni siku nyingi. Nisikuache na maswali, Marahaba pia nilimwona, now
u can connect the dots.............
 
Inawezekana kua kuna limbwata lakupenda tu... Lakini wengi wao wanatumia limbwata kwa faida za binafsi kama; kumu control mpenzi wako kufanya kitu chochote.. Nahata asijue wakati ana saidiwa nje...

Lakini mwisho wa siku ni kupendana ama kutopendana...
 
Sawa Babu ........mi sikuwa najua kuwa huwa linatumika kihivyo but kama lingekuwa halitumiki kihovyo....unawekewa ili tu umpende bibi yangu usimwone mwanamke mwingine....lingekuwa zuri??

Njoo kwetu Ukune,kuna limbwta linaitwa Lukomolwa,ukimwekea hilo mpenzi wako kama ni mwanaume hataona mwanamke mwingine,na kama ni mwanamke hataona mwanaume mwingine.
 
si ndio mambo ya limbwata haya .............. unaona hata wewe mwenyewe yanakutisha hahah. NY ni shwari, ukiwa na muda tuta-catch up maana ni siku nyingi. Nisikuache na maswali, Marahaba pia nilimwona, now
u can connect the dots.............
My dear GOD..........hata siamini is it you my bro?? uwiii hapana mie sie wanifananisha loh!! Yes MArahaba nlikuwa nachat naye leo ah...... not fair at all kaka. But am glad lol...........jamani nammiss Dommy
 
Njoo kwetu Ukune,kuna limbwta linaitwa Lukomolwa,ukimwekea hilo mpenzi wako kama ni mwanaume hataona mwanamke mwingine,na kama ni mwanamke hataona mwanaume mwingine.

Aksante PM.....sasa hili ndo mie naliita limbwata. how do you guys perceive this in your society if I may ask??
 
Inawezekana kua kuna limbwata lakupenda tu... Lakini wengi wao wanatumia limbwata kwa faida za binafsi kama; kumu control mpenzi wako kufanya kitu chochote.. Nahata asijue wakati ana saidiwa nje...

Lakini mwisho wa siku ni kupendana ama kutopendana...

Aksante Loner mydia.......... hiyo sentence ya mwisho imebeba ujumbe mzima.......... kama kungekuwa na nafasi ya kuboresha limbwata (liwe lile lisiloathiri akili ya mtumiaji--- liwe genuine) I wonder how will they feel about it
 
Definitely sina ..............wala I dont believe on it but...on second thought.......... ninasikia kuna wanaotoa tigo ili mpenzi asitoke nje si ndio?? Its not good (Kama ni kweli) ....but they do that basing on their assumptions.........and some people approves.......why not limbwata?? The purposes are the same .... arent they??
Mie staki kuamini hiyo sababu, nadahi wanaitumia kama "scape goat" tu ......... (najua nyie mwayajua zaidi)
Kwa mtazamo wangu zoezi wanalifurahia...........kwani huko nje hizo tigo hazipo?
 
Back
Top Bottom