On September 7,1996.Tupac Shakur Alipigwa risasi.

Top ten ambazo sio famous kiviiile za Makaveli ze Don lakini ni heavyweight tracks
1.Old School
2.Picture me rolling
3.Pour out a little liquor
4.Tear drops & closed case cats
5.Made Niggaz
6.https://jamii.app/JFUserGuide ya all
7.Lord knows
8.Bury me a G
9.Toss t up
10.Blasphemy
 
Toss it up naikubali sana
 
Tupac amaru shakur
Makaveli
Death row records

1. Brenda got a baby.
2. California love.
3. Hail Mary.
4. Dear Mama.
5. Live or die in L.A
 
naona Las vegas bado kuna historia mbaya ya matukio ya kupigana Risasi
 
Ndo mana Mziki wake unaishi
Alikua anatoa ujumbe muhimu kwa dunia, kuna wanao sema kwamba alikua anaongelea athari za dini za waabudu shetani ambazo waru wengi maarufu ni waumini pamoja na vijana wengi wanakimbilia huko.
 
Alikua anatoa ujumbe muhimu kwa dunia, kuna wanao sema kwamba alikua anaongelea athari za dini za waabudu shetani ambazo waru wengi maarufu ni waumini pamoja na vijana wengi wanakimbilia huko.
Ndio ndio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…