Ona baadhi ya mambo yetu tunavyofanya ki vyetu vyetu

Ona baadhi ya mambo yetu tunavyofanya ki vyetu vyetu

Hahahah mkuu umefanya nicheke sana kwa kweli unajua ku reason.Ilikuwa mwaka 1994 sijui wewe ulikuwa wapi wakati huo ila uko vizuri kwa ku reason.

Nilifanyia kijijini kwetu hakuna cha ukumbi.Wala honey moon honey moon ilikuwa nyumbani,MC alikuwepo wa bure ndugu yangu.

Ila sasa ndugu wote walikuwepo na ukoo wote na kijiji chote hapo umeonaje bro.Watu walikula na kusaza na pombe zilikuwepo za kienyeji bia kificho ni only VIP

Ila ndoa nilifungia mjini wakati wa kufunga ndoa tulikwenda na mashela kabisa na suti mpiga picha tulimuokota barabarani tulikuwa watu saba tu.
Harusi ndio nikapeleka kijijini unaona bro nashauri watu kitu nilichofanya mimi
Na ndoa iko hadi leo na wajukuu.
Kitendo tu cha kununua suti na mashela umeshapigwa. Kwa issue yako. Si bora ungevaa hata nguo ulizo nazo home. Kaka umepigwa.
Mimi mwaka huo nina miaka sita, baba yangu kaoa miaka miwili nyuma. Police officers mess. Bajeti yake ilikua 2,300,000 tu. Na watu waliingia wengi saaaaaana. Na wakubwa walikuwepo sio ndugu tu.
Mzee 700,000 ulipigwa.
 
Back
Top Bottom