Wa Kwilondo JF-Expert Member Joined Sep 15, 2007 Posts 1,081 Reaction score 313 Jan 18, 2012 #21 Pale Twanga ni chuo katoka chalz kuna dogo kaziba kabisa pengo lake! Ukiwa nje pale Mango unaweza dhani chalz yupo ndani. Pale mtakuja muulize Muumin. Wale vijana mapacha 3 mwisho wao umekaribia soon watarudi Twanga note my word.
Pale Twanga ni chuo katoka chalz kuna dogo kaziba kabisa pengo lake! Ukiwa nje pale Mango unaweza dhani chalz yupo ndani. Pale mtakuja muulize Muumin. Wale vijana mapacha 3 mwisho wao umekaribia soon watarudi Twanga note my word.
Sniper JF-Expert Member Joined Mar 8, 2008 Posts 1,957 Reaction score 827 Jan 18, 2012 #22 Bongo watu majina makubwa ila pesa hawana, dah!