Wa Kwilondo
JF-Expert Member
- Sep 15, 2007
- 1,081
- 313
Pale Twanga ni chuo katoka chalz kuna dogo kaziba kabisa pengo lake! Ukiwa nje pale Mango unaweza dhani chalz yupo ndani. Pale mtakuja muulize Muumin. Wale vijana mapacha 3 mwisho wao umekaribia soon watarudi Twanga note my word.