Ona maajabu ya Mungu ktk uumbaji na fursa za utafutaji riziki.

Ona maajabu ya Mungu ktk uumbaji na fursa za utafutaji riziki.

ujinga ni kwamba mwisho ya yoooote ni kifo je ushajiwekea maisha ya baada ya kufa
 
Duniani kuna kila aina ya watu, na wote hutegemeana.... Skilled and unskilled
 
Hivi umeshawahi kujiuliza hata siku moja kusuduo la wewe kuumbwa!
Je umeumbwa kusaka tonge ?
Umeumbwa kuacha historia?
Au umeumbwa ili kuabudu?

Sasa ona maajabu haya;
Idadi kubwa ya watu duniani wanaingiza pesa kupitia akili yani kichwa (Golden guys)ndio silaha zao ktk utafutaji kwa maana ya kwamba bila vichwa vyao kubakia na hali hiyo hiyo riziki kwao ni shida.

Wanaofata ni wale wanaoingiza kipato kupitia nguvu za miili yao (Iron guys) wakaza misuli, boxers na wengine wengi


Je wajua yakuwa kuna wanaoishi vizuri zaidi ya wanaotumia akili kwa kutegemea tu nyuchi zao na wanaingiza kipato kikubwa sana ?

Je wajua kuna wanaishi kwa kuwa wana makalio makubwa na wanaishi vizuri kupita hata wanaotumia akili zaidi?

Ukitafakari ujumbe huu kwa umakini utagundua yakuwa Mungu hakupi wala hakunyimi vyote aso hili ana lile .

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeanza vzr, ukamalizia vibaya. Mungu hajampa mtu umbo zuri ili alitumie kujiingizia pesa.
 
MUNGU MKUU
Katika malisho ya majani mabichi hunilisha na kuniongoza
 
Back
Top Bottom