R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 52,815 Reaction score 103,955 May 21, 2025 #1 Mbunge Kazi: Mgonga meza bungeni hana hata cheti cha la saba. 1. kugonga meza pekee 560,000 kwa siku 2. mshahara 18,000,000, kwa mwezi 3. gari milioni 110, mkopo na pengine wanasamehewa 4. mkopo hazina bilion 1 na unalipa nusu pekee 5. bado rushwa a hapa na pale kwenye kamati zao 6. pension baada ya miaka 5 milioni 400, Mtumishi wa umma Mwalimu/ engineer, daktari etc etc amesota miaka 40 kazini, pension milioni 50-100 masters degree declaration: modified from ... Benjamini Netanyahu's post for more visibility netan
Mbunge Kazi: Mgonga meza bungeni hana hata cheti cha la saba. 1. kugonga meza pekee 560,000 kwa siku 2. mshahara 18,000,000, kwa mwezi 3. gari milioni 110, mkopo na pengine wanasamehewa 4. mkopo hazina bilion 1 na unalipa nusu pekee 5. bado rushwa a hapa na pale kwenye kamati zao 6. pension baada ya miaka 5 milioni 400, Mtumishi wa umma Mwalimu/ engineer, daktari etc etc amesota miaka 40 kazini, pension milioni 50-100 masters degree declaration: modified from ... Benjamini Netanyahu's post for more visibility netan
S Saveya JF-Expert Member Joined Aug 18, 2019 Posts 3,640 Reaction score 3,886 May 21, 2025 #2 Ukiwa mbunge huwezi kukubali kupunguziwa mshahara.