vey sadDa afu watu wanahamia Chauma
Umekosea sana, yaani umeandika Mwalimu/Engineer?Mtumishi wa umma
Mwalimu/ engineer, daktari etc etc
amesota miaka 40 kazini, pension milioni 50-100
Na Mwandishi wa habari hatoi matangazo hadharani uwizi wa kura aliposhuhudiaUmekosea sana, yaani umeandika Mwalimu/Engineer?
Usahihi ni hivi, Mwalimu/Polisi
- Mmoja anawasaidia kuiba kura
- Mwingine analinda wizi wa kura
Kwa taarifa Yako hakuna anaegombea ubunge kwa lengo la kutetea wananchi ni mwendo wa maslahi, ndio maana hawapo tayari kuachia majimbo, wala kutaka katiba mpya au sheria zitakazo athiri viti vyao, Nashauri wabunge walipwe mshahara tu na usiozidi 8m ili tupate wazalendo, hivi tunavyojadili wakurugenzi, wakuu wa mikoa na makatibu wa kuu wanaacha viti vyao wanaenda kugombea ubunge kwasababu maslahi ni mengi na Kazi kidogoMbunge
Kazi: Mgonga meza bungeni hana hata cheti cha la saba.
1. kugonga meza pekee 560,000 kwa siku
2. mshahara 18,000,000, kwa mwezi
3. gari milioni 110, mkopo na pengine wanasamehewa
4. mkopo hazina bilion 1 na unalipa nusu pekee
5. bado rushwa a hapa na pale kwenye kamati zao
6. pension baada ya miaka 5 milioni 400,
Mtumishi wa umma
Mwalimu/ engineer, daktari etc etc
amesota miaka 40 kazini, pension milioni 50-100
masters degree
declaration:
modified from ... Benjamini Netanyahu's post for more visibility netan
Shida sio chauma ni hao wanaondesha chaumaDa afu watu wanahamia Chauma
Wewe ni mjinga na mpumbavu na hujui ulichoandika.Mbunge
Kazi: Mgonga meza bungeni hana hata cheti cha la saba.
1. kugonga meza pekee 560,000 kwa siku
2. mshahara 18,000,000, kwa mwezi
3. gari milioni 110, mkopo na pengine wanasamehewa
4. mkopo hazina bilion 1 na unalipa nusu pekee
5. bado rushwa a hapa na pale kwenye kamati zao
6. pension baada ya miaka 5 milioni 400,
Mtumishi wa umma
Mwalimu/ engineer, daktari etc etc
amesota miaka 40 kazini, pension milioni 50-100
masters degree
declaration:
modified from ... Benjamini Netanyahu's post for more visibility netan
Mjibu taratbu mkuuWewe ni mjinga na mpumbavu na hujui ulichoandika.
Are you okay mkuu? Umekumbuka kumeza dawa zako unazotumia?Wewe ni mjinga na mpumbavu na hujui ulichoandika.
Mbunge huyo....Are you okay mkuu? Umekumbuka kumeza dawa zako unazotumia?
Sawa.Mjibu taratbu mkuu
Usijali. Mamaako huwa ananikumbusha.Are you okay mkuu? Umekumbuka kumeza dawa zako unazotumia?