Ona maajabu ya Tanzania kuhusu vipato vya watumishi wa serikali

Duh,
Kumbe ndiyo sababu wapo tayari kuua ili waendelee kudumu humo mjengoni..


View: https://youtube.com/watch?v=tklwP9kcx_M&feature=shared
 
Hiyo ndo sisiemu Mkuu imejaza watu wenye akili moja

Wanaumingiza Msukuma na Babu tale watu amabao hawajui kusoma hata kiswahili zaidi ya lugha zao za Asili ili wakatunge sheria za nchi.
 
Samia! Unaona mnavyotunyonya?
Ulisema Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake, wengine kamba zetu urefu wake haufikii hata nch moja.
Inaumiza sana
 
Buree kabisa
 
Ndiyo maana watu wanauana wakati wa kutafuta ubunge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…