Ona maiti ilivyogoma kupelekwa kuzikwa

Ona maiti ilivyogoma kupelekwa kuzikwa

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Watu wameendelea kuwa na nguvu zao hata wanapokufa.

Kaburi la Morris Kiyeyeu liligoma kuvunjwa kwa zaidi ya miaka arobaini ili kufisha miradi ya umeme na barabara ya Tanzam.
Mifano iko mingi Sana, ila hapa Kuna video inayoonyesha nduguye MK254 akigoma kupelekwa kupumzishwa kwenye nyumba yake ya milele.

Kuna Muhehe mmoja alipofika dar alijiita Mwaki... Yaani Mwakiyeyeu akidai kwao ni Mwakaleli kwaakina malafyale, siku ya Mauti wanyakyusa walompenda walichanga fedha na kusema watampeleka mpaka Mwakaleli na wataulizia ukoo wao. Cha ajabu walipo fika Iringa, kwenye makaburi yaajabu ya mtwa Mwakiyeyeu story iliishia pale, magari yote kutoka dar yaligoma kabisa kuwaka kwa masaa 24 huku wenyeji wakianza kukusanyika kushangaa kioja.

Mzee mmoja wa kinyalu aliyevaa mgololi alisogea kutaka kujaribu kutoa msaada aliuliza kwani marehemu anaitwa nani? Ili tuweze kuwauliza masoka kwanini wamsimamishe hapa, wale waombolezaji walisema huyu ni Mwakiyeyeu anaenda Kitongoji Cha mpunguti,sebe Mwakaleli kwenye masyeto yao huko.

Yule mzee akamtazama marehemu akamtaja kwa majina yote manne akamwambia umefika, Magari yaliongoza mpaka nyumbani kwa marehemu kwa maziko
 
Mshana njoo huku hutupe maelezeo ya kina kuhusu Hali hii, inawezaje kutokea? Na je Maiti ya mtu yoyote inaweza kugoma?
 
Watu wameendelea kuwa na nguvu zao wata wanapokufa.
Kaburi la Morris Kiyeyeu liligoma kuvunjwa kwa zaidi ya miaka arobaini ili kufisha miradi ya umeme na barabara ya Tanzam.
Mifano iko mingi Sana, ila hapa Kuna video inayoonyesha nduguye MK254 akigoma kupelekwa kupumzishwa kwenye nyumba yake ya milele.

""Wananchi wengi walibaki kushangaa kwa suala hili la MAITI KUDINDA SAFARI". 🤣🤣🤣
 
Watu wameendelea kuwa na nguvu zao wata wanapokufa.
Kaburi la Morris Kiyeyeu liligoma kuvunjwa kwa zaidi ya miaka arobaini ili kufisha miradi ya umeme na barabara ya Tanzam.
Mifano iko mingi Sana, ila hapa Kuna video inayoonyesha nduguye MK254 akigoma kupelekwa kupumzishwa kwenye nyumba yake ya milele.
[emoji3]
 
Mekuwa nasikia wanaposafirisha mwili huwa watakiwa beba udongo/jiwe kutoka alipokuwa anaishi marehemu na kwenda nalo anakoenda zikwa..hii inapunguza kerooo
 
Kuna Muhehe mmoja alipofika dar alijiita Mwaki... Yaani Mwakiyeyeu akidai kwao ni Mwakaleli kwaakina malafyale, siku ya Mauti wanyakyusa walompenda walichanga fedha na kusema watampeleka mpaka Mwakaleli na wataulizia ukoo wao... Chaajabu walipo fika Iringa, kwenye makaburi yaajabu ya mtwa Mwakiyeyeu story iliishia pale, magari yote kutoka dar yaligoma kabisa kuwaka kwa masaa 24 huku wenyeji wakianza kukusanyika kushangaa kioja...
Shikamoo Wanyalukolo wote
 
Watu wameendelea kuwa na nguvu zao hata wanapokufa. Kaburi la Morris Kiyeyeu liligoma kuvunjwa kwa zaidi ya miaka arobaini ili kufisha miradi ya umeme na barabara ya Tanzam...
Mkuu Bujibuji hiyo story ya Kiyeyeu inapotoshwa kwa makusudi na si kweli kwamba kaburi liligoma kuvunjwa kupisha mradi wa umeme. Ukweli ni huu;

Utekelezaji huo wa mradi wa umeme ulienda sambamba na ulipaji fidia kwa wote ambao wangeathirika kwa namna moja au nyingine vikiwemo nyumba, mashamba na kadhalika.

Nguzo za umeme zilipofika hapo (maeneo ya Tanangozi) watekelezaji wa huo mradi wakagundua kuna makaburi ya familia (siyo moja) ya Kiyeyeu ambayo hayakuwekwa kwenye ulipaji wa fidia. Ili kukwepa kuwalipa fidia familia ya Kiyeyeu wakaamua kupitisha nguzo za umeme upande wa pili wa barabara halafu kuzirudisha kwenye njia ya kawaida mara tu baada ya kuyapita makaburi hayo.

Ndiyo maana mara tu kabla ya yale makaburi nguzo ilikuwa inavuka barabara na mara tu baada ya makaburi zinarudi upande ule ule.
 
Kwa maana ya kuwa mradi huo haukulipa fidia kwa mtu yeyote au familia ya kiyeyeu tu nids ilisahaulika katika fidia?
 
Huyu Mshana bado yupo kilingeni nini? Mbona kimyaaa?
 
Watu wameendelea kuwa na nguvu zao hata wanapokufa.

Kaburi la Morris Kiyeyeu liligoma kuvunjwa kwa zaidi ya miaka arobaini ili kufisha miradi ya umeme na barabara ya Tanzam.
Mifano iko mingi Sana, ila hapa Kuna video inayoonyesha nduguye MK254 akigoma kupelekwa kupumzishwa kwenye nyumba yake ya milele.

Naona kama magari ni makuu kuu
 
aiseee
 
Kuna Muhehe mmoja alipofika dar alijiita Mwaki... Yaani Mwakiyeyeu akidai kwao ni Mwakaleli kwaakina malafyale, siku ya Mauti wanyakyusa walompenda walichanga fedha na kusema watampeleka mpaka Mwakaleli na wataulizia ukoo wao. Cha ajabu walipo fika Iringa, kwenye makaburi yaajabu ya mtwa Mwakiyeyeu story iliishia pale, magari yote kutoka dar yaligoma kabisa kuwaka kwa masaa 24 huku wenyeji wakianza kukusanyika kushangaa kioja.

Mzee mmoja wa kinyalu aliyevaa mgololi alisogea kutaka kujaribu kutoa msaada aliuliza kwani marehemu anaitwa nani? Ili tuweze kuwauliza masoka kwanini wamsimamishe hapa, wale waombolezaji walisema huyu ni Mwakiyeyeu anaenda Kitongoji Cha mpunguti,sebe Mwakaleli kwenye masyeto yao huko.

Yule mzee akamtazama marehemu akamtaja kwa majina yote manne akamwambia umefika, Magari yaliongoza mpaka nyumbani kwa marehemu kwa maziko
Duh!!!,ilikuwa mwaka gani?,Wewe ulikuwepo au ulisimuliwa?.
 
Back
Top Bottom