LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Mwamba amejitahidi kufikiria.
Nilicho muelewa huyu mwamba ni kwamba " Always use ur problem as a solution to ur problem".
Ukipatwa na tatizo zaidi ya moja kwa wakati mmoja chagua tatizo moja Kati yao na ulitumie ku solve matatizo mengine.
Uzi umekamilika now unaweza toa maoni yako
1. Namba moja( hapo ndo upo kwenye tatizo )