Ona Majibu ya fumbo la "Ufanye nini upo mtini kuna nyoka, majini kuna mamba na nchi kavu kuna simba"

Mmmh hapa tumepigwa na kitu kizito
 
Sawa lakini sijaona umuhimu wa kuvua nguo hapo
Imesaidia kuwaingiza maboya Mamba.

Mchoro huu una matoleo mengi, mpaka kufikia hivi sasa hili ni tolea la tatu kwa upande wangu na mchoro ni huu huu, wanabadilisha kidogo
 
Nasubiria comments kwa ufafanuzi zaidi aliwezaje kumdaka nyoka na kumfunga hapo mtini
Na nyoka kageuka kuwa kamba ya bembea!? mbaya zaidi nyoka hakukatika kutokana na uzito wa jamaa!

Hapa huyo problem solver katuda ganya!
 

Acheni hizo danganya toto!!hapo juu ya mti mpaka anafikia kwenye tawi wakati mti unaonekana umekatwa nusu kwa uzito wa jamaa hadi kufikia alipo huo mti ungesha vunjika.
Yaani kwa kifupi huyo jamaa hana chake hapo amsalie tuu mtume!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…