Ona mchungaji anavyomhoji mlevi

Ona mchungaji anavyomhoji mlevi

Mdakuzi mkuu

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2016
Posts
212
Reaction score
720
MCHUNGAJI; "Unakunywa bia!?

MLEVI; "Ndio.

MCHUNGAJI; "Kwa siku unakunywa bia ngapi!?

MLEVI; "Nakunywa bia tano!

MCHUNGAJI; "Bia moja bei gani!?

MLEVU; "2500/

MCHUNGAJI; "Ulianza lini kunywa bia!?

MLEVI; "Miaka 18 iliyopita!

MCHUNGAJI; "Kwa hiyo kwa siku unatumia zaidi ya 10,000??

MLEVI; "Ndio!

MCHUNGAJI; "Kama u gekuwa unatunza hiyo pesa 10,000 kwa siku leo hii si ungekuwa na Range Rover!?

MLEVI; "Samahani, naweza kukuuliza swali!?

MCHUNGAJI; "Uliza!

MLEVI; "Unakunywa bia!?

MCHUNGAJI; "Hapana!

MLEVI; "Nionyeshe Range Rover yako!

MCHUNGAJI; "akasepa"
 
Ulevi ni.mwingi sana sema.watu wamecrem.kwamba ulevi wa ni pombe tu ni mbaya
Wakat kuna ulevi mbaya aina.kibao
Dini
Drugs
Siasa
Education
Nk

Too much for anything is harmful

Pombe ukinywa kwa uwezo wako kifedha na kuihimili kichwan kadri ..tatizo lipo wapi
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee niletee huyo mlevi nimpe tano
 
Back
Top Bottom