Uchaguzi 2020 Ona mikutano ya CCM inavyotia huruma

Afisa Mteule Drj 2

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2017
Posts
3,865
Reaction score
4,506
Huu ni mkutano wa kampeni wa mgombea wa CCM kwa nafasi ya ubunge Mbeya Vijijini ndugu Oran njeza.

Huyu mzee mikutano yake huwa haina watu kabisa na kuna baadhi ya sehemu ameshaambulia zomea zomea za hapa na pale. Nimesikia baadhi ya sehemu wakisema mitano yake inamtosha hawamtaki tena hajawafanyia lolote wananchi wake. Kwenye mkutano huu naona tu watoto wa shule ndio wapo kwa wingi.

 
Nahisi na yeye wakati muafaka Wa yeye kwenda kujiajiri, maana hawa wamezoea kutuambia vijana mjiajiri , ngoja na yy aingie kitaa kidogo

Umeongea pointi sana .
Chadema wamekosea sana ,miezi miwili bila kutangaza mipango yao ya maendeleo.
Kuna mambo hutakiwi ukapanda kwenye jukwaa halafu ukaacha kuyazungumzia.
Mfano : Ajira, miundo mbinu, Elimu , Kilimo cha kisasa, Uchumi, utalii nk.

Muda mwingi wameonekana wanalalamika.
Kampeni zimeisha, Magufuli ameonyesha wazi kuwa ataendelea na kazi ya ujenzi wa miundo Mbinu.
 
Jiwe hana jipya kaka anaendeleza aliyoyaanza huku wananchi wake wakiendelea kutaabika
 
Mkutano wa hadhi ya Diwani kijijini sawa na Ushindi Ni Lazima MTAKE MSITAKE INYESHE LIWAKE JPM NI RAIS JPM5TENA.
 
Weka na kampeni za wagombea wa vyama vya Upinzani, usimulike ya ccm tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…