Uchaguzi 2020 Ona mikutano ya CCM inavyotia huruma

Huu ni mkutano wa kampeni wa mgombea wa CCM kwa nafasi ya ubunge Mbeya Vijijini ndugu Oran njeza.

Huyu mzee mikutano yake huwa haina watu kabisa na kuna baadhi ya sehemu ameshaambulia zomea zomea za hapa na pale. Nimesikia baadhi ya sehemu wakisema mitano yake inamtosha hawamtaki tena hajawafanyia lolote wananchi wake. Kwenye mkutano huu naona tu watoto wa shule ndio wapo kwa wingi.

View attachment 1606804
Ndio maana Mwigulu yeye kaamua kucha kabisa kampeni. Ameshajiandaa kwa lolote.
 
kuna baadhi ya sehemu ameshaambulia zomea zomea za hapa na pale.
Hata wakizabwa na Makofi sintoshangaa kwani Wananchi wana hasira
Watu wamefilisiwa na TRA Wamachinga wamezulumiwa Elfu ishirini zao
 
Huu ni mkutano wa kampeni wa mgombea wa CCM kwa nafasi ya ubunge Mbeya Vijijini ndugu Oran njeza.

Huyu mzee mikutano yake huwa haina watu kabisa na kuna baadhi ya sehemu ameshaambulia zomea zomea za hapa na pale. Nimesikia baadhi ya sehemu wakisema mitano yake inamtosha hawamtaki tena hajawafanyia lolote wananchi wake. Kwenye mkutano huu naona tu watoto wa shule ndio wapo kwa wingi.

View attachment 1606804
 
Huu ni mkutano wa kampeni wa mgombea wa CCM kwa nafasi ya ubunge Mbeya Vijijini ndugu Oran njeza.

Huyu mzee mikutano yake huwa haina watu kabisa na kuna baadhi ya sehemu ameshaambulia zomea zomea za hapa na pale. Nimesikia baadhi ya sehemu wakisema mitano yake inamtosha hawamtaki tena hajawafanyia lolote wananchi wake. Kwenye mkutano huu naona tu watoto wa shule ndio wapo kwa wingi.

View attachment 1606804
Laana hiyo
 
Back
Top Bottom