Uchaguzi 2020 Ona mikutano ya CCM inavyotia huruma

Huo ni mkutano wa udiwani kwenye kata; afadhali wao wanaitisha mikutano ya kata kuliko wengine ambao hawawezi kuitisha mkutano wa kata bali wanasubiri mgombea wa urais apite tu. Politics zinaanzia kwenye grassroots;
 
Sioni mpinzani mkuu
Kama huoni mpinzani si ubaki na dikteta lako sasa video za upinzani ulitaka za nini kama hadi sasa hujaona mpinzani?

Utakua zezeta wa Dodoma tu wewe.
 
Kama huoni mpinzani si ubaki na dikteta lako sasa video za upinzani ulitaka za nini kama hadi sasa hujaona mpinzani?

Utakua zezeta wa Dodoma tu wewe.
Pole sana mkuu hii michezo haihitaji nguvu, usiwe Kama Matha.
 
Labda Kama ni matango pori Ila niliona makala yake kwenye tv kajitahidi kufanya mambo mengi huko mbeya vijijini na kaelezea mipango mingine,mnamuonea bana
 
 

Attachments

  • UBUNGO6.jpg
    340.9 KB · Views: 1
Duuh.. hapo Ni walimu na wanafunzi, na wapita njia wachache
 
Your browser is not able to display this video.
 
Du yaani hiyo idadi ni ndogo hata zaidi ya abiria wa bus la abood dar - moro
Kijijini huwa hakuna population kubwa mikutanoni hasa misimu ya mvua na kilimo unataka atumie picha kama ile ya uongo wa Lisu amako maelfu walijaa akisingizia wanakijiji wa kijijini kwake?
 
Hapa naona Daimond, hamonyz, kiba walikuwa busy kidogo.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…