Niliamua kuacha uhuni nikatulia sasa nikapata ka dem ka staarabu kazuri ,kanajielewa kununa hana iyo system ,nikafurah nikajisemea rohoni hatimaye nmefka ,nimfanye mchumba then wife to be ,kama ujuavyo wakat uliopita unaweza kudhuru wakati uliopo kiasi kikubwa ,nikaenda nako gesti nachukua chumba mhudumu wa guest ananiambia chukua cha cku zote ,nmeenda naye ndani lkn nmenyimwa kiwanda (K),yaan alaf nikatoka nilikaniomba hela pumbavu yaan limeniuz ,ww ni maneno gani yalishakusabbsha ukose kiwanda yaani K ,ukiwa gesti ?