Ona sasa huyu!,alichofanya

Ona sasa huyu!,alichofanya

Mimi kabla yakupokea wokovu,kuna hotel moja pale Samora mjini,nilikuwa naitumia sana kuwasulubisha wadada ninao watoa lunch maofficen.Sasa wafanyakazi nilizoeana nao.Ikatokea kama miezi 6 nipo safari nje ya nchi.Kwahiyo hawakuniona muda mrefu,sasa nilirudi nikawa na bint mrembo sana,ile naingia tu pale reception yule Dada akanifurahia akanikaribisha kwa furaha,akajisahau akaniuliza MBONA UMEPOTEA,HATUJAKUONA MUDA MREFU,(muda wote nilikuwa kimnya).Mwisho akaniambia,Boss Card hii chumba kile unachokipenda.Daahh nilipewa mzigo nayule bint lakini sikatika hali ya furaha na starehe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nini hiki??? Aliyeelewa msaada puliiiiiiiiiiiiiizzzzzzzz

Cc Smart911

Sent using Jamii Forums mobile app
utaelewa ikiingia
Mimi kabla yakupokea wokovu,kuna hotel moja pale Samora mjini,nilikuwa naitumia sana kuwasulubisha wadada ninao watoa lunch maofficen.Sasa wafanyakazi nilizoeana nao.Ikatokea kama miezi 6 nipo safari nje ya nchi.Kwahiyo hawakuniona muda mrefu,sasa nilirudi nikawa na bint mrembo sana,ile naingia tu pale reception yule Dada akanifurahia akanikaribisha kwa furaha,akajisahau akaniuliza MBONA UMEPOTEA,HATUJAKUONA MUDA MREFU,(muda wote nilikuwa kimnya).Mwisho akaniambia,Boss Card hii chumba kile unachokipenda.Daahh nilipewa mzigo nayule bint lakini sikatika hali ya furaha na starehe.

Sent using Jamii Forums mobile app
30521716, member: 484857"]Mimi kabla yakupokea wokovu,kuna hotel moja pale Samora mjini,nilikuwa naitumia sana kuwasulubisha wadada ninao watoa lunch maofficen.Sasa wafanyakazi nilizoeana nao.Ikatokea kama miezi 6 nipo safari nje ya nchi.Kwahiyo hawakuniona muda mrefu,sasa nilirudi nikawa na bint mrembo sana,ile naingia tu pale reception yule Dada akanifurahia akanikaribisha kwa furaha,akajisahau akaniuliza MBONA UMEPOTEA,HATUJAKUONA MUDA MREFU,(muda wote nilikuwa kimnya).Mwisho akaniambia,Boss Card hii chumba kile unachokipenda.Daahh nilipewa mzigo nayule bint lakini sikatika hali ya furaha na starehe.

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE hawa wahudumu wawe wanafanya kama hajui ,et mtu anakwambia umepotea cku iz ,c ana haribu kabsa ,wanatakiwa wajue hakna dem anayependa mwanaume mhuni, wavunge ,ni first time .
 
Kwanza kwa nini umpeleke kwa siku zote...

Pili muhudumu hana adabu kukuambia chukua cha siku zote, ndiyo maana ukanyimwa k...

Cc: mahondaw
 
Kwanza kwa nini umpeleke kwa siku zote...

Pili muhudumu hana adabu kukuambia chukua cha siku zote, ndiyo maana ukanyimwa k...

Cc: mahondaw
mhudumu ndio kiazi yeye hajiongez akaona leo nna mpya ,akavunga ni first time ananihudumia ,hafai kuwa guest kabsa analeta uteja wa kuuza nguo guest ,kaniudhi yaan !
 
Back
Top Bottom