Mimi kabla yakupokea wokovu,kuna hotel moja pale Samora mjini,nilikuwa naitumia sana kuwasulubisha wadada ninao watoa lunch maofficen.Sasa wafanyakazi nilizoeana nao.Ikatokea kama miezi 6 nipo safari nje ya nchi.Kwahiyo hawakuniona muda mrefu,sasa nilirudi nikawa na bint mrembo sana,ile naingia tu pale reception yule Dada akanifurahia akanikaribisha kwa furaha,akajisahau akaniuliza MBONA UMEPOTEA,HATUJAKUONA MUDA MREFU,(muda wote nilikuwa kimnya).Mwisho akaniambia,Boss Card hii chumba kile unachokipenda.Daahh nilipewa mzigo nayule bint lakini sikatika hali ya furaha na starehe.
Sent using
Jamii Forums mobile app