Ona soko zuri lenye bei nzuri kwa kuuza korosho zako Dar es salaam

Joined
Oct 29, 2012
Posts
86
Reaction score
4
Bm Impex, iliopo Dar es salaam katika msimu huu wa korosho tunanunua korosho kwa bei itayomnufaisha mkulima. Kwa kila kilo moja tunanua kwa shilingi 1500, (ni zaidi ya asilimia 50 ya bei iliopangwa na bodi ya soko la korosho kusini ambayo ni sh. 1000).

Wasiliana moja kwa moja na meneja masoko wa BM impex 0653422776.

N.B. Kama korosho zako hazina kibali, tutazinunua kwa shilingi 1230 kwa kilo moja.
 
Mnanunua na mazao gani mengine mkuu, kama yapo weka na bei mkuu.
 
Nipo serious mkuu, tembelea supermarket. Halafu haukuwa specific, ELIASANTE kanielewesha kumbe ni zile zisizobanguliwa.

Samahani mkuu nimekupata. Ni kweli tunanua zile ambazo hazikubanguliwa kwa bei hio.
 
Last edited by a moderator:
1230 halafu akuletee na Dar??????
Kilo moja mtwara inauzwa sh. 1000, kusafirisha kilo moja ni sh. 80, storage? wapakiaji na washushaji? mifuko ya kubebea? ... mmmh.... jaribuni wakuu, mtaleta feedback
 
Back
Top Bottom