PROF MUDI DULA
Member
- Oct 29, 2012
- 86
- 4
Mbona Dar tunanunua kilo kwa shs 23,000?
Bm Impex, iliopo Dar es salaam katika msimu huu wa korosho tunanunua korosho kwa bei itayomnufaisha mkulima. Kwa kila kilo moja tunanua kwa shilingi 1500, (ni zaidi ya asilimia 50 ya bei iliopangwa na bodi ya soko la korosho kusini ambayo ni sh. 1000).
Wasiliana moja kwa moja na meneja masoko wa BM impex 0653422776.
N.B. Kama korosho zako hazina kibali, tutazinunua kwa shilingi 1230 kwa kilo moja.
Mbona Dar tunanunua kilo kwa shs 23,000?
Acha masihara. Kuwa "serious"
toa elimu si kila mtu anajua
Mnanunua na mazao gani mengine mkuu, kama yapo weka na bei mkuu.
Elimu kuhusu nini mkuu?