Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KhartoumHii Sudan ipi?? Kusini-Juba au sudan-Khartoum???
Ayaah dah hapa timing zilikuaje mkuu??so sad aseeh kwa ya Tanzania...utadhani ulaya hiyo ya sudan
Hii ni Sudan ile yenye timu inaitwa El Merrekhe ile timu aliyokataa kwenda Anko Ngasa kwa mapenzi yake kwa Yanga.. Wanalipa mishahara mpaka milion 22 kwa mwezi kwa baadhi ya wachezaji.... Usajili wao mpaka bilion 1...so usishangae jengo la federation yao...hio office ni ya sudan hii nnayo ijua mimi kila siku vita au sudan ipi ..manake ni step kubwa sana kwa nchi yenye vita kias kile
duh Tz bado kumbeHii ni Sudan ile yenye timu inaitwa El Merrekhe ile timu aliyokataa kwenda Anko Ngasa kwa mapenzi yake kwa Yanga.. Wanalipa mishahara mpaka milion 22 kwa mwezi kwa baadhi ya wachezaji.... Usajili wao mpaka bilion 1...so usishangae jengo la federation yao...