Namfahamu VEMA Simon Mwakifwambwa, Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF). Hapana. Nguo aliyovaa HAITANGAZI Uingereza, kwani rangi za bendera ya Uingereza ni nyekundu na nyeupe. Sasa tazama vizuri shati alilovaa Simon.
Kama suala ni kuzidiwa, kuvaa nguo hakumaanishi kwamba fulani ni mzalendo zaidi. Matendo yake. Je, amemleta huyo mwigizaji kutoka Ghana kuja kuisaidia Tanzania au kuja kuitangaza Ghana?
Jaribuni kuchanganua mambo kwanza, kabla ya kuanza kutoa mada zisizo na mashiko!
MwanaHakiNamfahamu VEMA Simon Mwakifwambwa, Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF). Hapana. Nguo aliyovaa HAITANGAZI Uingereza, kwani rangi za bendera ya Uingereza ni nyekundu na nyeupe. Sasa tazama vizuri shati alilovaa Simon.
Kama suala ni kuzidiwa, kuvaa nguo hakumaanishi kwamba fulani ni mzalendo zaidi. Matendo yake. Je, amemleta huyo mwigizaji kutoka Ghana kuja kuisaidia Tanzania au kuja kuitangaza Ghana?
Jaribuni kuchanganua mambo kwanza, kabla ya kuanza kutoa mada zisizo na mashiko!
Na hao wadada watakuwa na unga kwenye nyabi zao. Sina imani kabisa na hawa wadada waigizaji. Ni punda hao, watakuwa wametoka brazil na cocaine na kuja tz kama kama wametokea ghana.
Umenena mkuu,hata wakija kukung'ng'a humu tupo wengine tunaofikiria hivyo pia!
Eti mtu anaenda hotelini watakuonesha toka yuko kwake anajiandaa,njiani full time hadi anafika! Shida yao muvi iwe na part two! Siwezi kununua upuuzi huu!
Acha kubwabwaja,wewe kumfahamu mtu ndio avae nguo imeandikwa England wakati anaenda Airport kumpokea mgeni? Ameshindwa hata kuchukua rubega la kimasai na kujitupia begani? Hatumpangii mtu nguo ya kuvaa but kwa nafasi yake na umuhimu wa tukio basi alitakiwa aonyeshe huo uzalendo unaosema anao.
Mods please toa upuuzi huu
Afadhali umemwambiaww uwezo wko wa kufikiri umeishia hapo ningekuwa na uwezo ningekurudisha shule na kama bado unasoma jitahidi sana maana upo nyuma kiakili sna na unahtji nguvu ya ziada siasa si lazima CHADEMA na CCM
Kwani siasa ni nini? Kutaja Chadema na ccm? Cheki vzr picha mkuu utaelewa
Uyo jamaa kulia ni Raisi wa shirikisho wa Filam Tanzana na kushoto kabsa ni jamaa muigizaji kutika GhanaView attachment 112456
Namfahamu VEMA Simon Mwakifwambwa, Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF). Hapana. Nguo aliyovaa HAITANGAZI Uingereza, kwani rangi za bendera ya Uingereza ni nyekundu na nyeupe. Sasa tazama vizuri shati alilovaa Simon.
Kama suala ni kuzidiwa, kuvaa nguo hakumaanishi kwamba fulani ni mzalendo zaidi. Matendo yake. Je, amemleta huyo mwigizaji kutoka Ghana kuja kuisaidia Tanzania au kuja kuitangaza Ghana?
Jaribuni kuchanganua mambo kwanza, kabla ya kuanza kutoa mada zisizo na mashiko!
huyu raisi anatawala wapi?