Ona Uzalendo wa Wabongo Eti raisi wa ......Anazidiwa na Mgeni

Ona Uzalendo wa Wabongo Eti raisi wa ......Anazidiwa na Mgeni

Namfahamu VEMA Simon Mwakifwambwa, Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF). Hapana. Nguo aliyovaa HAITANGAZI Uingereza, kwani rangi za bendera ya Uingereza ni nyekundu na nyeupe. Sasa tazama vizuri shati alilovaa Simon.

Kama suala ni kuzidiwa, kuvaa nguo hakumaanishi kwamba fulani ni mzalendo zaidi. Matendo yake. Je, amemleta huyo mwigizaji kutoka Ghana kuja kuisaidia Tanzania au kuja kuitangaza Ghana?

Jaribuni kuchanganua mambo kwanza, kabla ya kuanza kutoa mada zisizo na mashiko!

Ubishi usiokua na maana....
hilo shati licha ya rangi limeandikwa England kabisa.!!
 
------- sana huyo.. ndio umbulala gani huo rais washirikisho wa film TZ anavaa shati ya bendera ya England alfu huyo mgeni kavaa tisheti ya Tanzania.
Kweli kazi ipo. Sipati picha surprise alio ipata huyo mgeni.
 
Namfahamu VEMA Simon Mwakifwambwa, Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF). Hapana. Nguo aliyovaa HAITANGAZI Uingereza, kwani rangi za bendera ya Uingereza ni nyekundu na nyeupe. Sasa tazama vizuri shati alilovaa Simon.

Kama suala ni kuzidiwa, kuvaa nguo hakumaanishi kwamba fulani ni mzalendo zaidi. Matendo yake. Je, amemleta huyo mwigizaji kutoka Ghana kuja kuisaidia Tanzania au kuja kuitangaza Ghana?

Jaribuni kuchanganua mambo kwanza, kabla ya kuanza kutoa mada zisizo na mashiko!
MwanaHaki

Umeshinda basi tusem anaitangaza GREAT BRITAIN.
 
Last edited by a moderator:
ww uwezo wko wa kufikiri umeishia hapo ningekuwa na uwezo ningekurudisha shule na kama bado unasoma jitahidi sana maana upo nyuma kiakili sna na unahtji nguvu ya ziada siasa si lazima CHADEMA na CCM
Mods please toa upuuzi huu
 
hata JK alitutaka vijana tuwe wazalendo kwa nchi yetu,ikumbukwe ilikua ni marufuku mtu yoyote kuwa na alama ya bendera ya taifa mpaka pale Mh.Mbowe alipoipaka kwenye Chopa na kuruka nayo akapigwa mkwara na wanafiki wa serikali, JK akasema ruksa kutembea na bendera kwani ni alama ya taifa
 
Na hao wadada watakuwa na unga kwenye nyabi zao. Sina imani kabisa na hawa wadada waigizaji. Ni punda hao, watakuwa wametoka brazil na cocaine na kuja tz kama kama wametokea ghana.

Hao wadada ni watanzania mbona

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Umenena mkuu,hata wakija kukung'ng'a humu tupo wengine tunaofikiria hivyo pia!

Eti mtu anaenda hotelini watakuonesha toka yuko kwake anajiandaa,njiani full time hadi anafika! Shida yao muvi iwe na part two! Siwezi kununua upuuzi huu!

Kuna moja niliwahi kuona watu wanashuka mlima dakika zaidi ya kumi na tano! Nilijikuta nimechukia kupita kiasi...
 
Acha kubwabwaja,wewe kumfahamu mtu ndio avae nguo imeandikwa England wakati anaenda Airport kumpokea mgeni? Ameshindwa hata kuchukua rubega la kimasai na kujitupia begani? Hatumpangii mtu nguo ya kuvaa but kwa nafasi yake na umuhimu wa tukio basi alitakiwa aonyeshe huo uzalendo unaosema anao.

Duh,we ndo umeua kabisa, yaani siku hizi tukienda kupokea wageni Airport nikutupia lubega ya kimasaai? Yaani pale Airport ndo wangejaa Morani kila siku kama tuko Ngorongoro.
 
ww uwezo wko wa kufikiri umeishia hapo ningekuwa na uwezo ningekurudisha shule na kama bado unasoma jitahidi sana maana upo nyuma kiakili sna na unahtji nguvu ya ziada siasa si lazima CHADEMA na CCM
Afadhali umemwambia
 
Kwani siasa ni nini? Kutaja Chadema na ccm? Cheki vzr picha mkuu utaelewa

Ndio Maana nimesema Sielewi Mengi... sikupayuka kuwaandikia MODS kama wengine Wafanyavyo; it was only in my OWN FREEDOM PRIVATELY without causing any harm to no one... I believe I DO HAVE that right....
 
Namfahamu VEMA Simon Mwakifwambwa, Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF). Hapana. Nguo aliyovaa HAITANGAZI Uingereza, kwani rangi za bendera ya Uingereza ni nyekundu na nyeupe. Sasa tazama vizuri shati alilovaa Simon.

Kama suala ni kuzidiwa, kuvaa nguo hakumaanishi kwamba fulani ni mzalendo zaidi. Matendo yake. Je, amemleta huyo mwigizaji kutoka Ghana kuja kuisaidia Tanzania au kuja kuitangaza Ghana?

Jaribuni kuchanganua mambo kwanza, kabla ya kuanza kutoa mada zisizo na mashiko!

Hakuwa na sababua ya kuvaa ngo ya uingereza km hakuwa na shughuli uingereza ....wageni wengie tuu ,ukienda arusha ,zenji wamepiga jezi ya taifa stars wanakata mitaa na kubwia kila bia yenye jina la kivutio ch anchi yetu.Yote haya wanafanya kwa raha zao na kuona fahari ya nchi yetu..huyo jamaa km wehu wengine wanang`aa ktk sanaa il ahawana maadili na hivyo hawajui wapi wafanye nini, kwa kufikisha ujumbe gani.Ndio maana hata movies zao mara nyingine zinadhalilisha dini, makabila, watoto, wanawake, wanaume, elimu etc bola kujua wanapopeleka ujumbe fulani ni vipi kuzuia miwgine uisjitokeze hata kidogo au isiwe km sasa ambapo side effects zinazidi Movie yenyewe.
 
wahamiaji haramu wapo wengi huyu arudishwe kwao england
 
Huyu Rahisi angemuomba Mwigulu Nchemba amuwakilishe kwenda kumpokea huyu mgeni, maana Mwigulu angeanza na underwear ya bendera ya Tanzania na kujifunga miskafu mpaaka miguuni.
 
nahako kabinti kamodal kaize tucarry nikananii
 
Back
Top Bottom