K kaskas Senior Member Joined Nov 1, 2010 Posts 158 Reaction score 137 Jan 31, 2017 #1 Ona viongozi wa nchi wanavyoongea kwa busara
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Jan 31, 2017 #2 Ni kujipanga
mbere JF-Expert Member Joined Mar 5, 2015 Posts 6,967 Reaction score 6,465 Jan 31, 2017 #3 Mwenzangu angewatia ndani watu hapo,na kuwafukuzisha kazi
Nyenyere JF-Expert Member Joined Sep 9, 2010 Posts 14,804 Reaction score 10,715 Jan 31, 2017 #4 kaskas said: Ona viongozi wa nchi wanavyoongea kwa busara Click to expand... Tumekuchokeni. Kwani hizo nchi za maziwa na asali hawaruhusu uraia wa kujiandikisha? Mwende huko mtupishe tufanye kazi kujenga nchi yetu.
kaskas said: Ona viongozi wa nchi wanavyoongea kwa busara Click to expand... Tumekuchokeni. Kwani hizo nchi za maziwa na asali hawaruhusu uraia wa kujiandikisha? Mwende huko mtupishe tufanye kazi kujenga nchi yetu.
Obuma JF-Expert Member Joined Dec 28, 2015 Posts 2,727 Reaction score 5,096 Jan 31, 2017 #5 Huyu ni mtoto wa raisi aliwahi kuishi ikulu so ana uzoefu mkuu!! Huwezi kuwalinganisha na wengine ambao kidogo uzoefu hamna!!! Kenyatta ameiva sana kiuongozi!!!!
Huyu ni mtoto wa raisi aliwahi kuishi ikulu so ana uzoefu mkuu!! Huwezi kuwalinganisha na wengine ambao kidogo uzoefu hamna!!! Kenyatta ameiva sana kiuongozi!!!!
Obuma JF-Expert Member Joined Dec 28, 2015 Posts 2,727 Reaction score 5,096 Jan 31, 2017 #6 Nyenyere said: Tumekuchokeni. Kwani hizo nchi za maziwa na asali hawaruhusu uraia wa kujiandikisha? Mwende huko mtupishe tufanye kazi kujenga nchi yetu. Click to expand... Wewe unajenga nchi ipi? Labda kama uko Chato
Nyenyere said: Tumekuchokeni. Kwani hizo nchi za maziwa na asali hawaruhusu uraia wa kujiandikisha? Mwende huko mtupishe tufanye kazi kujenga nchi yetu. Click to expand... Wewe unajenga nchi ipi? Labda kama uko Chato
Nyenyere JF-Expert Member Joined Sep 9, 2010 Posts 14,804 Reaction score 10,715 Jan 31, 2017 #7 Obuma said: Wewe unajenga nchi ipi? Labda kama uko Chato Click to expand... Mie najitambua