Ona viongozi wa nchi wanavyoongea kwa busara

Mwenzangu angewatia ndani watu hapo,na kuwafukuzisha kazi
 
Ona viongozi wa nchi wanavyoongea kwa busara

Tumekuchokeni. Kwani hizo nchi za maziwa na asali hawaruhusu uraia wa kujiandikisha? Mwende huko mtupishe tufanye kazi kujenga nchi yetu.
 
Huyu ni mtoto wa raisi aliwahi kuishi ikulu so ana uzoefu mkuu!! Huwezi kuwalinganisha na wengine ambao kidogo uzoefu hamna!!! Kenyatta ameiva sana kiuongozi!!!!
 
Tumekuchokeni. Kwani hizo nchi za maziwa na asali hawaruhusu uraia wa kujiandikisha? Mwende huko mtupishe tufanye kazi kujenga nchi yetu.
Wewe unajenga nchi ipi? Labda kama uko Chato
 
Back
Top Bottom