Onana asakwa kama dhahabu

Onana asakwa kama dhahabu

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
Can confirm:

JS Kabylie have expressed strong interest in the signing of Willy Onana from Simba SC. First offer set to arrive next week. [emoji599]

JSK want Onana as a replacement for Msuva who they parted ways with recently.

Also, on the list is Abedi Bigirimana from Police Kibungo in Rwanda.

#Transfers
#AfricanFootball

Mickyjnr....
mickyjnrofficial-20240106-0001.jpg
 
Watu wanababaika sana. Nawashauri simba wachukue fedha wamuache galasa hilo
 
Baada ya kung'ara kwenye mechi ya kwanza mapinduzi tournament
 
Watu wanababaika sana. Nawashauri simba wachukue fedha wamuache galasa hilo
Na hilo ni ombi lililo kuu kwa Uto maana wameshagundua kuwa Onana wa sasa sio yule wa Robertinno so kuna mauaji yanaintemelea Uto siku wakikutana na Onana wa sasa.

Uto kazeni hapohapo kuombea Onana auzwe 😂😂
 
Onana ni mchezaji wa kawaida sana, hana imapact yoyote pale msimbazi, hata akiondoka ni sawa tu.
 
Back
Top Bottom