NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Dah ...Hii imenishangaza sana katika huu mpira wetu (kivyetuvyetu).
Na ndiyo maana Hawa wachezaji huwa Wanakuja kuivimbia timu na kujiona wao ni muhimu sana haiwezekani mchezaji kikosi kimetoka hata subs hayupo lakini anakuja kuingia.
Kwa hili benchi la ufundi la Simba sc nawapa "BIG NO".View attachment 2863244
Jikite kwenye hojaMnataka watu waishi mawazo yenu na mnavyo Amini nyinyi sio.
Pilipili ya shamba lakini chura wa jangwani inamuwasha, hivi awashwe kwa nini awashwe na pilipili ya shamba?Kwa hili benchi la ufundi la Simba sc nawapa "BIG NO".
Mnaishi kwa mazoea.Jikite kwenye hoja
Sheria za soccer timu zinatangazwa at least saa moja kabla ya mechi kuanza. Yaani wachezaji 11 wanaoaza na subs wote. Huwezi ukamuingiza mchezaji ambaye hayupo kwenye sub. Unachoongelea ni umbumbumbu wa soccer.Mnataka watu waishi mawazo yenu na mnavyo Amini nyinyi sio.
HUNA HOJA BALI UNAONGELEA HISIA TU UNAAMBIWA JIKITE KWENYE HOJA UNALETA HISIA.Pilipili ya shamba lakini chura wa jangwani inamuwasha, hivi awashwe kwa nini awashwe na pilipili ya shamba?
Sasa hapa SISI YANGA TUNAUMIZWA NA NINI? TUJIFUNZE KU MIND OUR OWN BUSINESSHii imenishangaza sana katika huu mpira wetu (kivyetuvyetu).
Na ndiyo maana Hawa wachezaji huwa Wanakuja kuivimbia timu na kujiona wao ni muhimu sana haiwezekani mchezaji kikosi kimetoka hata subs hayupo lakini anakuja kuingia.
Kwa hili benchi la ufundi la Simba sc nawapa "BIG NO".View attachment 2863244
WEWE UMEONA HANARI ZA YANGA HAPO??Sasa hapa SISI YANGA TUNAUMIZWA NA NINI? TUJIFUNZE KU MIND OUR OWN BUSINESS
Hainiathiri sababu toka day one naanza kusoma nilijua kutakuwa na mitihani. Tuangalie matches zetu sisi Yanga tunafanyaje tushinde zote. Tuachane na kufuatana fuatana na mikia. Mwanaume unatakiwa uangalia nyumba yako inaendaje.WEWE UMEONA HANARI ZA YANGA HAPO??
WASILISHA MAWAZO YAKO/ HOJA YAKO NIKUELEWE.
KITENDO CHA KUMPUNZISHA MCHEZAJI HATA SAIKOLOJIA YAKE INAKUA HAIPO KIMICHEZO MZEE.
SAWA NA WEWE UAMBIWE LEO HAKUNA MTIHANI UPO KESHO HALAFU BAADA YA MUDA UNAPIGIWA SIMU NJOO MTIHANI UPO.
Suala la feisal WAPUMBAVU waliliongelea zaidi kuliko YANGA wenyewe...Pilipili ya shamba lakini chura wa jangwani inamuwasha, hivi awashwe kwa nini awashwe na pilipili ya shamba?