Onana hakuwepo hata subs kwenye mchezo dhidi ya APR ya Rwanda lakini kocha alipoona hali ni mbaya alimuita toka jukwaani na kufanya Sub

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Hii imenishangaza sana katika huu mpira wetu (kivyetuvyetu).
Na ndiyo maana Hawa wachezaji huwa Wanakuja kuivimbia timu na kujiona wao ni muhimu sana haiwezekani mchezaji kikosi kimetoka hata subs hayupo lakini anakuja kuingia.

Kwa hili benchi la ufundi la Simba sc nawapa "BIG NO".
1704521053636.jpg
 
Hii imenishangaza sana katika huu mpira wetu (kivyetuvyetu).
Na ndiyo maana Hawa wachezaji huwa Wanakuja kuivimbia timu na kujiona wao ni muhimu sana haiwezekani mchezaji kikosi kimetoka hata subs hayupo lakini anakuja kuingia.

Kwa hili benchi la ufundi la Simba sc nawapa "BIG NO".View attachment 2863244
Dah ...
 
Sasa hapa SISI YANGA TUNAUMIZWA NA NINI? TUJIFUNZE KU MIND OUR OWN BUSINESS
 
WEWE UMEONA HANARI ZA YANGA HAPO??

WASILISHA MAWAZO YAKO/ HOJA YAKO NIKUELEWE.

KITENDO CHA KUMPUNZISHA MCHEZAJI HATA SAIKOLOJIA YAKE INAKUA HAIPO KIMICHEZO MZEE.

SAWA NA WEWE UAMBIWE LEO HAKUNA MTIHANI UPO KESHO HALAFU BAADA YA MUDA UNAPIGIWA SIMU NJOO MTIHANI UPO.
 
Hainiathiri sababu toka day one naanza kusoma nilijua kutakuwa na mitihani. Tuangalie matches zetu sisi Yanga tunafanyaje tushinde zote. Tuachane na kufuatana fuatana na mikia. Mwanaume unatakiwa uangalia nyumba yako inaendaje.
 
Back
Top Bottom