Onana hakuwepo hata subs kwenye mchezo dhidi ya APR ya Rwanda lakini kocha alipoona hali ni mbaya alimuita toka jukwaani na kufanya Sub

Simba mikia tu ht iweje
Ujue Sheria ucjue we mkia tuu msikutane na Yanga mtajuta
Hivi hamjiulizi wageni wakishinda fainali itakuwaje na kwanini Kuna mwaliko...Ni Sheria gani hizi ?.
 
Umemuita mwenzio mavi, inawezekana wewe ndio ukawa ndio mavi. Njoo na kikosi cha Simba cha jana kikionesha Onana yupo kwenye orodha ya wachezaji wa akiba
Hongera kwa kuthibitisha wewe ni Mavi Plus plus.
 
Ninachoomba kujua, ilikuwaje hadi Mwamuzi wa mezani akaruhusu mchezaji ambaye hayuko kwenye orodha ya Wachezaji aliyokabidhiwa aingie uwanjani?
 
Ninachoomba kujua, ilikuwaje hadi Mwamuzi wa mezani akaruhusu mchezaji ambaye hayuko kwenye orodha ya Wachezaji aliyokabidhiwa aingie uwanjani?
KAKA UNANIULIZA MIMI TENA ?!
WAKATI HATA MIMI NASHANGAA NI KWA NINI??

NDIYO MAANA NIKASEMA SOKA LA BONGO (KIVYETUVYETU)

HAYO MADUDU YAKIFANYWA NA SIMBA NA YANGA SIYO ISHU.
 
UNGEANZA KUTAJA KWANZA SHERIA ZILIZOTUMIKA KUINGIZA MCHEZAJI KUTOKA JUKWAANI NINGEKUONA WA MAANA SANA.

LAKINI KUONGEA TU HUNA TOFAUTI NA BABU ALIYESHIKA KOMBE LA KAHAWA.
 
Aisee sikunotice alooo hatari
 
Ila sijakuzidi wewe uliye empty kichwani hata kujibu hoja hujui unakimbilia matusi kama silaha
Wewe upijibu hoja ipi na Nani Alikuruhusu kuanza kunitukana ?
Hujanotisi kwamba alianza Yeye na wewe kusapoti kitu kile kile.

Ulielewa Sisi tulikuwa tunabishania kipi hasa Kati ya Sub na kumpa mchezaji umuhimu uliopitiliza .

Punguza Shobo.
 
Kwahyo unataka mechi irudiwe?? Halafu kama ni kweli ww imekuathiri vipi? Tafuteni rekodi za mipira huko duniani sio kocha wa kwanza kufanya hivyo...
 
Kwahyo unataka mechi irudiwe?? Halafu kama ni kweli ww imekuathiri vipi? Tafuteni rekodi za mipira huko duniani sio kocha wa kwanza kufanya hivyo...
LETA HIZO RECORD HAPA

KWA HIYO BENCHIKA KAIGA MAMBO YA NJEE??

NA HIYO SHERIA YA WAPI [emoji2772][emoji16]
 
Wewe upijibu hoja ipi na Nani Alikuruhusu kuanza kunitukana ?
Hujanotisi kwamba alianza Yeye na wewe kusapoti kitu kile kile.

Ulielewa Sisi tulikuwa tunabishania kipi hasa Kati ya Sub na kumpa mchezaji umuhimu uliopitiliza .

Punguza Shobo.
Jifunze kwanza kuandika kwa ufasaha. Upijibu ndio maanake nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…