Gautten Potten
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 1,642
- 3,426
Uzi umekimbiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hamjiulizi wageni wakishinda fainali itakuwaje na kwanini Kuna mwaliko...Ni Sheria gani hizi ?.Simba mikia tu ht iweje
Ujue Sheria ucjue we mkia tuu msikutane na Yanga mtajuta
Kamanda Kuna miongozo yake kwenye hili Bonanza.Upo sahihi lakini kwenye lineup hakuwepo hapo sheria inasemaje? au hua kuna lineup ambayo haitangazwi?
Hongera kwa kuthibitisha wewe ni Mavi Plus plus.Umemuita mwenzio mavi, inawezekana wewe ndio ukawa ndio mavi. Njoo na kikosi cha Simba cha jana kikionesha Onana yupo kwenye orodha ya wachezaji wa akiba
Ninachoomba kujua, ilikuwaje hadi Mwamuzi wa mezani akaruhusu mchezaji ambaye hayuko kwenye orodha ya Wachezaji aliyokabidhiwa aingie uwanjani?Hii imenishangaza sana katika huu mpira wetu (kivyetuvyetu).
Na ndiyo maana Hawa wachezaji huwa Wanakuja kuivimbia timu na kujiona wao ni muhimu sana haiwezekani mchezaji kikosi kimetoka hata subs hayupo lakini anakuja kuingia.
Kwa hili benchi la ufundi la Simba sc nawapa "BIG NO".View attachment 2863244
KAKA UNANIULIZA MIMI TENA ?!Ninachoomba kujua, ilikuwaje hadi Mwamuzi wa mezani akaruhusu mchezaji ambaye hayuko kwenye orodha ya Wachezaji aliyokabidhiwa aingie uwanjani?
TUPE HIYO MIONGOZO HAPA TUJIFUNZE KITU.Kamanda Kuna miongozo yake kwenye hili Bonanza.
HAKUNA ALIYEKIMBIAUzi umekimbiwa
UNGEANZA KUTAJA KWANZA SHERIA ZILIZOTUMIKA KUINGIZA MCHEZAJI KUTOKA JUKWAANI NINGEKUONA WA MAANA SANA.Ni sheria ioi imevunjwa kwa kufanya hivyo? Itaje!
Adhabu yake ni nini?
Au Kanuni za kombe la mapinduzi zinasemaje?
Nb: unataka kutuaminisha kwamba wewe na mazuzu wenzio mna uelewa mpira kuliko Benchikha au benchi lote la ufundi.
Mchezaji anasajiliwa ili acheze.
Ila sijakuzidi wewe uliye empty kichwani hata kujibu hoja hujui unakimbilia matusi kama silahaHongera kwa kuthibitisha wewe ni Mavi Plus plus.
SAWA NI BONANZA MBONA HAWAKUCHEZESHA WACHEZAJI 13 KWA 13Naomba nikukumbushe tu kua hilo ni BONANZA. Halipo kwenye karenda ya CAF and FIFA. Hata ww ungecheza tu.
Angejua angemuweka Kama mchezaji wa akibaMnaishi kwa mazoea.
Mwalimu anajua anachokifanya Wewe komaa na kuona ni Jambo la ajabu.
Aisee sikunotice alooo hatariHii imenishangaza sana katika huu mpira wetu (kivyetuvyetu).
Na ndiyo maana Hawa wachezaji huwa Wanakuja kuivimbia timu na kujiona wao ni muhimu sana haiwezekani mchezaji kikosi kimetoka hata subs hayupo lakini anakuja kuingia.
Kwa hili benchi la ufundi la Simba sc nawapa "BIG NO".View attachment 2863244
Upo sahihi.Angejua angemuweka Kama mchezaji wa akiba
Wewe upijibu hoja ipi na Nani Alikuruhusu kuanza kunitukana ?Ila sijakuzidi wewe uliye empty kichwani hata kujibu hoja hujui unakimbilia matusi kama silaha
LETA HIZO RECORD HAPAKwahyo unataka mechi irudiwe?? Halafu kama ni kweli ww imekuathiri vipi? Tafuteni rekodi za mipira huko duniani sio kocha wa kwanza kufanya hivyo...
Tafuta mwenyewe bwana..ww najua unajua..LETA HIZO RECORD HAPA
KWA HIYO BENCHIKA KAIGA MAMBO YA NJEE??
NA HIYO SHERIA YA WAPI [emoji2772][emoji16]
Jifunze kwanza kuandika kwa ufasaha. Upijibu ndio maanake nini?Wewe upijibu hoja ipi na Nani Alikuruhusu kuanza kunitukana ?
Hujanotisi kwamba alianza Yeye na wewe kusapoti kitu kile kile.
Ulielewa Sisi tulikuwa tunabishania kipi hasa Kati ya Sub na kumpa mchezaji umuhimu uliopitiliza .
Punguza Shobo.