Mike A Mugilanetza
Member
- Jul 24, 2023
- 62
- 162
Kuna majitu yanavamiaga vitu hayaelewi watu wanabishana kipi yenyewe yanavamiaga tu na kuleta hisia zao za Kishamba.Wewe upijibu hoja ipi na Nani Alikuruhusu kuanza kunitukana ?
Hujanotisi kwamba alianza Yeye na wewe kusapoti kitu kile kile.
Ulielewa Sisi tulikuwa tunabishania kipi hasa Kati ya Sub na kumpa mchezaji umuhimu uliopitiliza .
Punguza Shobo.
Hujaona Hiyo ni tatizo Mjuvi ?.Jifunze kwanza kuandika kwa ufasaha. Upijibu ndio maanake nini?
Mtoa post tumepishana ila hakutoa kauli za Kiwaki.Kuna majitu yanavamiaga vitu hayaelewi watu wanabishana kipi yenyewe yanavamiaga tu na kuleta hisia zao za Kishamba.
Safi Sana poti.
Unaweza kuiweka hapa?Kamanda Kuna miongozo yake kwenye hili Bonanza.
KAMA NI BONANZA BASI HATA WACHEZAJI WANGEPANGWA 13 UWANJANI.Bonanza mnapiga kelele, sikui akoli zenu zikoje.
Unazungumzia soka ya dunia au Soka ya bongo?Sheria za soccer timu zinatangazwa at least saa moja kabla ya mechi kuanza. Yaani wachezaji 11 wanaoaza na subs wote. Huwezi ukamuingiza mchezaji ambaye hayupo kwenye sub. Unachoongelea ni umbumbumbu wa soccer.
Aibu gani?Ni aibu kwa soka letu
Umevurugwaaa tayariiiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Simba mikia tu ht iweje
Ujue Sheria ucjue we mkia tuu msikutane na Yanga mtajuta
Great minds discuss ideas. Average minds duscuss events, mediocre minds discuss people.Ukajiona una Akili kumbe mavi tu.
Kama Onana ni Outside Agent alipogusa mpira tu mpira ungesimamishwa ... Ungeona refa kupitia list yake Kisha Onana out, Ball drop inafanyika na mwisho was siku ungeskia Simba kuadhibiwa na wapinzani kupewa magoli matatu na alama juu.
Usijione una Akili bwege wewe.
Kolo lazima ahenyeshwe mchumbaUmevurugwaaa tayariiiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
JIFUNZE KUWEKA HOJA NA SIYO KUDANDIA TRENI KWA MBELE.Muda wa kuandika haya matakataka ungemfundisha mwanao kusoma ungependeza sana.Unawajibika huku ambako hatukutaki.
ASANTE KUSHIRIKI PIA .Ahsante kwa taarifa...
HATA MIMI SIJUI NI MCHEZAJI WA TIMU GANI??Kwani huyo aliyeingia hata sub hakuwepo ni mchezaji wa timu gani
TULETEE HAPA HIZO KANUNIKanuni za mashindano hayo zinasemaje kwanza tuanzie hapo