Onana hakuwepo hata subs kwenye mchezo dhidi ya APR ya Rwanda lakini kocha alipoona hali ni mbaya alimuita toka jukwaani na kufanya Sub

Onana hakuwepo hata subs kwenye mchezo dhidi ya APR ya Rwanda lakini kocha alipoona hali ni mbaya alimuita toka jukwaani na kufanya Sub

Wewe upijibu hoja ipi na Nani Alikuruhusu kuanza kunitukana ?
Hujanotisi kwamba alianza Yeye na wewe kusapoti kitu kile kile.

Ulielewa Sisi tulikuwa tunabishania kipi hasa Kati ya Sub na kumpa mchezaji umuhimu uliopitiliza .

Punguza Shobo.
Kuna majitu yanavamiaga vitu hayaelewi watu wanabishana kipi yenyewe yanavamiaga tu na kuleta hisia zao za Kishamba.
Safi Sana poti.
 
Kuna majitu yanavamiaga vitu hayaelewi watu wanabishana kipi yenyewe yanavamiaga tu na kuleta hisia zao za Kishamba.
Safi Sana poti.
Mtoa post tumepishana ila hakutoa kauli za Kiwaki.
Ni hawa wehu wanaoibuka Kama Nguchiro.
 
Sheria za soccer timu zinatangazwa at least saa moja kabla ya mechi kuanza. Yaani wachezaji 11 wanaoaza na subs wote. Huwezi ukamuingiza mchezaji ambaye hayupo kwenye sub. Unachoongelea ni umbumbumbu wa soccer.
Unazungumzia soka ya dunia au Soka ya bongo?
 
Ukajiona una Akili kumbe mavi tu.
Kama Onana ni Outside Agent alipogusa mpira tu mpira ungesimamishwa ... Ungeona refa kupitia list yake Kisha Onana out, Ball drop inafanyika na mwisho was siku ungeskia Simba kuadhibiwa na wapinzani kupewa magoli matatu na alama juu.

Usijione una Akili bwege wewe.
Great minds discuss ideas. Average minds duscuss events, mediocre minds discuss people.
 
Muda wa kuandika haya matakataka ungemfundisha mwanao kusoma ungependeza sana.Unawajibika huku ambako hatukutaki.
 
Muda wa kuandika haya matakataka ungemfundisha mwanao kusoma ungependeza sana.Unawajibika huku ambako hatukutaki.
JIFUNZE KUWEKA HOJA NA SIYO KUDANDIA TRENI KWA MBELE.

TAFUTA WAZIBUA MITARO WAKUZIBUE MIMI HUWA SIZIBUI MITARO.[emoji41]
 
Back
Top Bottom