Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata kama nikweli hatujakuomba utupe reference ya huyu jamaa hapaHizo ndio baadhi ya faida za safari za Kikwete, sasa pigeni hesabu, gharama za safari zake na faida inayoanza kujionesha, na huo ni mwanzo tu, hiyo ita double kila miaka 3.
Hapo sasa!
Infiriority complex ni pale unaposhindwa na kuchukia sio tu kwa criticism kutoka kwa wengine,hata self criticism pia.Ni ukweli usiopingika kwamba tumejaliwa mali asili nyingi sana.Lakini ni ukweli usiopingi kwamba bado tunafanya mambo kijinga jinga tu...Tembo sasa hivi wanauliwa kama hawana mwenyewe...juzi tu tulijiibia wenyewe kwa kusafirisha twiga na wanyama wengine kibao tukapeleka uarabuni....makampunu ya utalii ya ndani yanaibia serikali park fee kwa sana tu....we have a room to improve....na kujikosoa ndo kutatufikisha huko...mkuu kama wewe ni mtz usiwe na inferiority complex namna hiyo,secta ya utalii ilikuwa chini tz miaka mingi kutokana na siasa ya ujamaa ambayo tz ili adopt muda mfupi baada ya uhuru na siyo ujinga kama unavyofikiria, ukiangalia hiyo report inaonyesha pamoja na kukuwa kwa investments kwenye utalii lakini pia ghasia na mauaji baada ya uchaguzi huko kenya umechangia kushusha pato lao kwenye hii sekta, sasa kati ya wa tz na hao kenya hapo nani ni mjinga!!!!!
Ni kweli mkuu..Ushelisheli wana fukwe tu lakini pato lao ni mara kumi ya hili letu..sie tumekaa kujisifia tu na kupongezana.Tanzania ina vivutio vingi sana hatuwezi kilinganishwa na kenya hata siku moja na kama tumezidi kwa kiwango hicho nasupport bongo ni ujinga tu na wala hakuna cha kujivunia hapo. Vivutio tulivyonavyo tulitakiwa tuwe na pesa kibao si hivyo vijisent
Pata darsa dogo hapa usiyeelewa hata yanayojiri nchini mwako:
Sasa nakuuliza, jee unajuwa kuwa Hotels zinaangukia katika "Hospitality Industry"?
Sasa katika hesabu zako huko juu onegezea hotels ngapi mpya za kitalii ulizozisikia tu, wacha kuzijuwa?
Jee, Unaelewa kuwa Hotel Bora duniani kwa miaka miwili mfululizo iliyopita ipo Tanzania?
Kalagabaho!
Ukijibu hayo amma kwa kukubali amma kwa kukataa nnakuongeza vingine, mpaka utaona hiyo idadi ya 400 niliyokupa nimeishusha mno, kwani nnafahamu watu kama wewe mpo humu na mtakuja kutafuta kubisha kwa msiyoyaelewa.
Wewe na kikwete vipi ? Unamsifia kila uchao. Sio suala la safari zake hata kidogo. Wapi uliona akisaini mkataba wa utalii.Bora hata Pinda huko China. Kuna factors zilizosababisha mmojawapo ikiwa ni kuchaguliwa mbuga zetu 2 na mlima kuwa 7 wonders of Africa. FIY Mkapa alipigia utalii debe vizuri zaidi kuliko JKHizo ndio baadhi ya faida za safari za Kikwete, sasa pigeni hesabu, gharama za safari zake na faida inayoanza kujionesha, na huo ni mwanzo tu, hiyo ita double kila miaka 3.
Hapo sasa!
Nyerere killed each and every industry in Tanzania. Thanks to Kikwete he has revived the Tourism industry, we will see an influx of tourists, what we see now is not even 5% of what will be seen in a very near future.