Once a sleeping giant,TZ overtakes Kenya

Hongera Tanzania, ni achievement nzuri sana, now we await to hear from our critics , sidhani kama wanayo ya kusema kuhusiana na hili...na bado tutaendelea kufanya vizuri zaidi na zaidi..
 
Hizo ndio baadhi ya faida za safari za Kikwete, sasa pigeni hesabu, gharama za safari zake na faida inayoanza kujionesha, na huo ni mwanzo tu, hiyo ita double kila miaka 3.

Hapo sasa!
hata kama nikweli hatujakuomba utupe reference ya huyu jamaa hapa
 
Tanzania ina vivutio vingi sana hatuwezi kilinganishwa na kenya hata siku moja na kama tumezidi kwa kiwango hicho nasupport bongo ni ujinga tu na wala hakuna cha kujivunia hapo. Vivutio tulivyonavyo tulitakiwa tuwe na pesa kibao si hivyo vijisent
 
Infiriority complex ni pale unaposhindwa na kuchukia sio tu kwa criticism kutoka kwa wengine,hata self criticism pia.Ni ukweli usiopingika kwamba tumejaliwa mali asili nyingi sana.Lakini ni ukweli usiopingi kwamba bado tunafanya mambo kijinga jinga tu...Tembo sasa hivi wanauliwa kama hawana mwenyewe...juzi tu tulijiibia wenyewe kwa kusafirisha twiga na wanyama wengine kibao tukapeleka uarabuni....makampunu ya utalii ya ndani yanaibia serikali park fee kwa sana tu....we have a room to improve....na kujikosoa ndo kutatufikisha huko...
 
Tanzania ina vivutio vingi sana hatuwezi kilinganishwa na kenya hata siku moja na kama tumezidi kwa kiwango hicho nasupport bongo ni ujinga tu na wala hakuna cha kujivunia hapo. Vivutio tulivyonavyo tulitakiwa tuwe na pesa kibao si hivyo vijisent
Ni kweli mkuu..Ushelisheli wana fukwe tu lakini pato lao ni mara kumi ya hili letu..sie tumekaa kujisifia tu na kupongezana.
 

Hahahah....Hospitality industry, Music/entertainment industry, Telecommunication industry, Tourism industry,...! Kama ndio hivi viwanda unavyosema mmejenga sina swali tena, nimekubali moja kwa moja!
 
Hizo ndio baadhi ya faida za safari za Kikwete, sasa pigeni hesabu, gharama za safari zake na faida inayoanza kujionesha, na huo ni mwanzo tu, hiyo ita double kila miaka 3.

Hapo sasa!
Wewe na kikwete vipi ? Unamsifia kila uchao. Sio suala la safari zake hata kidogo. Wapi uliona akisaini mkataba wa utalii.Bora hata Pinda huko China. Kuna factors zilizosababisha mmojawapo ikiwa ni kuchaguliwa mbuga zetu 2 na mlima kuwa 7 wonders of Africa. FIY Mkapa alipigia utalii debe vizuri zaidi kuliko JK
 
Nyerere killed each and every industry in Tanzania. Thanks to Kikwete he has revived the Tourism industry, we will see an influx of tourists, what we see now is not even 5% of what will be seen in a very near future.




Umechemsha na pia nakupa pole sana kwa kutojuwa ukisemacho, usipende sana kusikiliza fleva, soma vitabu vitakusaidia. Aliyeua viwanda hapa tanzania ni Mwinyi na Mkapa na si Nyerere. Chunguza hayo na pia usome makala na vitabu ila usinunue kanda za fleva kutaka kujuwa ukweli, utapotoka.
 
well done, kama pesa zote zinaishia mikononi mwa wachache bora tusiongoze tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…