yaani wewe umedandia kilio changu na sasa una demand the best one???????
duhhh
hehe, umenikumbusha yale ya kuzimia msibani,lol!
msiba sio wake kaushonea sare kabisa?
mkuu lizzy atatusamehe kwa kuchakachua hi thread
but leo man wamenikumbusha barthez....nimejikuta nacheka peke yangu lol
yaani wewe umedandia kilio changu na sasa una demand the best one???????
duhhh
Goli la pili niliagiza Mvinyo Mweupe wakati Mchungaji huwa na kwenda na kitu red -cabernet
Bila shaka Lizzy atampa poem naye David de Gea
Hahaha...Kloro kwani umesahau kwamba kimombo nilijifunza kwaajili yako?!Hiyo vocha ongeza mara mbili!!!
You know very well you‘ve been neglected!!
mkuu kama unakumbuka shamrashamra na majigambo ya kumsajili barthez
na jinsi magoli ya kitoto aliyokuja kufungwa,,huwa nacheka peke yangu mpaka leo still nikikumbuka lol
lizzy sorry aisee
Hahaha...kaona umelaza damu!!
Hehehe afazali, maanake nakumbuka last time nilikutext halaf ile text haikukamilika ikaandika "some txt is missing" nakumbuka ukanijibu "some txt is missing too honey" ,Nilicheka kweli aisee, Nimekusamehe lakini.
Does she know all that...?!
Hahahaha...wifi kama unataka mafua tafuta wale wasiojua bei ya colgate na deo!!
Wifi mbona kaka yako yuko hapa pembeni...usishangae kugundua mengine anaandika yeye!!lolz
Kwa style hii hupati dedication wala nini,..naomba ubebane na huyo baba mchungaji mkaongelee mpira nje!!!