Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,523
Mama angu alinambia nikifika mjini nisiongee na stranger, nimekaidi, sasa hata njia ya kurudi home siioni
Call this number 991
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama angu alinambia nikifika mjini nisiongee na stranger, nimekaidi, sasa hata njia ya kurudi home siioni
hahaha, yaani ukiwa sensitive na harufu ni mateso japo yaweza kuwa faida! nini mafua, unaweza tapika kabisaa,lol!
ila inabidi umpunguzie kakangu limbwata! wifi,inabidi unioneshe mganga wako plz!
Mkaidi hafaidi hata siku ya iddi...
The boss lakini si stranger wako kakwambia ubadili avatar,tena kwa thread nzito, mbona unadandia dedikeshooo za watu lol!na iddi mpaka mwezi wa ramadhani upite..
duhhhhhh au iddi kubwa lol
The boss lakini si stranger wako kakwambia ubadili avatar,tena kwa thread nzito, mbona unadandia dedikeshooo za watu lol!
Muhusika kakwambia badili unasubiria nini?meshajumlisha kumbee?
wewe unaonaje nibadili?lol
Muhusika kakwambia badili unasubiria nini?
ndio mana hupati dedictn ubishi lol!
Nisutwe na nani wakati mambo hadharani lol!muhusika tena lol
utasutwa wewe lol
Nisutwe na nani wakati mambo hadharani lol!
mtoto analilia wembe apewe asipewe?
Sasa ushaenda chimba dawa au umekaa tu wakati ushaona mgonjwa kazidiwa,sio wembe wewe..lol
ni dawa anataka lol
Sasa ushaenda chimba dawa au umekaa tu wakati ushaona mgonjwa kazidiwa,
waganga wengine bwana, kabla hawajapata wateja vibao kibao, ooh natibu ngiri
mara nguvu sijui, mara dawa za mapenzi, wateja wakijaa wanashangaa tu, shika
jembe sasa kachimbe dawa,mwone vile
Once a stranger...
You were once a stranger...a man with character...but yet could not be read like a blank piece of paper.
I asked for your name and you did the same...was that fate?! I think not...just a connection we had to create!
The tone of your voice like music to my ears...the depth of your story brought me close to tears!Ohhh what a lovely man....with a bright personality much like the sun!
I wished to stare into your eyes...to feel what they disguised!See if you told lies ..and wheater you were wise!What I learned...was more than I had earned!
Now months later..you are no longer a stranger!For i ve held you hand and made you my friend!The scent of you skin has become familiar...as our interests turned out to be similar!
Dedicated to a friend of mine...
I thought it was schmaltzy...........and too surreal in this dog eat dog World.............
Once a stranger...
You were once a stranger...a man with character...but yet could not be read like a blank piece of paper.
I asked for your name and you did the same...was that fate?! I think not...just a connection we had to create!
The tone of your voice like music to my ears...the depth of your story brought me close to tears!Ohhh what a lovely man....with a bright personality much like the sun!
I wished to stare into your eyes...to feel what they disguised!See if you told lies ..and wheater you were wise!What I learned...was more than I had earned!
Now months later..you are no longer a stranger!For i ve held you hand and made you my friend!The scent of you skin has become familiar...as our interests turned out to be similar!
Dedicated to a friend of mine...
Congrats Lizzy... i am sure radi ilipiga and you saw all the seven colours
And somehow, i think this one really really struck you well....
I am happy for you and i wish for a longer lasting happiness with the stranger
Nice one