Once a stranger...

hahaha, yaani ukiwa sensitive na harufu ni mateso japo yaweza kuwa faida! nini mafua, unaweza tapika kabisaa,lol!

ila inabidi umpunguzie kakangu limbwata! wifi,inabidi unioneshe mganga wako plz!

Hahahha...ni noma!!

Ehhhe ehhe wifi siri nyingine hazipaswi kushea ujue!!Mara uende kule ukanivurugie....!!!!
 
sio wembe wewe..lol
ni dawa anataka lol
Sasa ushaenda chimba dawa au umekaa tu wakati ushaona mgonjwa kazidiwa,
waganga wengine bwana, kabla hawajapata wateja vibao kibao, ooh natibu ngiri
mara nguvu sijui, mara dawa za mapenzi, wateja wakijaa wanashangaa tu, shika
jembe sasa kachimbe dawa,mwone vile
 

nimekwambia utasutwa husikii lol
mimi sitoi siri za wagonjwa lol
 
Congrats Lizzy... i am sure radi ilipiga and you saw all the seven colours

And somehow, i think this one really really struck you well....

I am happy for you and i wish for a longer lasting happiness with the stranger

Nice one
 

I thought it was schmaltzy...........and too surreal in this dog eat dog World.............
 

Hapo kwenye blue inadhihirisha kabisa kwamba ni zaidi ya rafiki wa kawaida. Kuna watu wana bahati zao humu JF aisee. Ndio maana wanasema bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi! Tehetehetehehehe!
 
Congrats Lizzy... i am sure radi ilipiga and you saw all the seven colours

And somehow, i think this one really really struck you well....

I am happy for you and i wish for a longer lasting happiness with the stranger

Nice one

MTM...MTM...MTM!

Neway let me just say thank you bro..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…