Once a stranger...

Hapo kwenye blue inadhihirisha kabisa kwamba ni zaidi ya rafiki wa kawaida. Kuna watu wana bahati zao humu JF aisee. Ndio maana wanasema bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi! Tehetehetehehehe!
Hahaahahha....Masaki unajaribu utabiriiii nini!?Kua karibu tu na mtu kunatosha kumzoea kila kitu chake bila kua kama ulivyowaza!!!Hata hivyo inabidi nikubali kwamba sio rafiki yangu wa KAWAIDA bali ni rafiki yangu MZURI!!!
 
Am still speechless. Nikipata la kuongea nitaongea. Ila Lizzy mhhh!!!!
 
Words could never tell you, How important you'll always be,
Just little things that you do that are especially meant for me.
You always seem to remember…………All the things to do.
That makes friends last forever…………And share a bond so true.
I'm so glad God gave to me……….Someone just like you.
He knew that you would be…………One of the chosen few!
 

Awwww! I'm loving this Lizzy, good stuff!!

btw, there is no harm getting to know someone better🙂))
 

Duh!!!!!!!!!! haya bana
 
Mama wa kwanza kumbe na wewe umo ehhh?!Natumai mlengwa anayajua haya..!
 
Sometimes a stranger can be a very good friend, but watch out he/she may also turn out to be a vampire
 
Awwww! I'm loving this Lizzy, good stuff!!

btw, there is no harm getting to know someone better🙂))

Thanks dear..

And you are absolutely right...bora kumjua mtu ukamwelewa alafu ukachagua kupenda/chukia alivyo kuliko kutokumjua kabisa!!
 
Sometimes a stranger can be a very good friend, but watch out he/she may also turn out to be a vampire

Gaga kila urafiki/mahusiano hua unaanzia kwenye kutofahamiana.Hayo mengine yote ni matokeo ambayo lazima tupitie ili kujifunza!!
 

Hii ni muafaka kwa kidume chochote....
Sound so real,
Hakika huyo "friend" ananafafasi kubwa ya kukupa furaha,
Kama ikatokea mkazaa penzi,,,!
WIth that, hauhitaji limbwata.... kijana wa kiume ni utamshika tu...
Mistari ya ukweli, najaribu kujenga ndoto kwamba mtoto mmoja ananiambia hivyo....
Oooh mnyakyusa mimi ntatoa kila kitu kama Mwanakijiji na stori yake ya "mtoto wa tanga" na kisa cha penzi lililokataliwa.
 
MTM...MTM...MTM!

Neway let me just say thank you bro..

Lizzy... you just dont know how happy i feel for you... i could read the lines in this thread and for sure they are are full of light, life and love

i can even imagine how your skin has improved... they all go together, love and skin quality!! ... just a tip
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…