Once a stranger...

Hahahaha!!
JG umenifurahisha sana...kumbe na hii ni aina ya limbwata ehhh?!

Basi itabidi niliendeleze maana halicost chochote!!Sema sikujua kama wanaume mnapenda hii mambo!!Nlidhani ni sisi wadada tu ndo tunaopenda kuimbiwa na kuandikiwa mashairi!!!

Owwhh!!Asante tena bro...

Alafu hapo kwenye “skin quality “ umenigusa. Kuna kitu nimenotice siku za karibuni ila sikujua kwamba inaweza kua inahusiana na furaha ya mtu!!!Strange......

Hahaahahha....Masaki unajaribu utabiriiii nini!?Kua karibu tu na mtu kunatosha kumzoea kila kitu chake bila kua kama ulivyowaza!!!Hata hivyo inabidi nikubali kwamba sio rafiki yangu wa KAWAIDA bali ni rafiki yangu MZURI!!!

Nimekuelewa!

Indeed you are truly blessed,
and he surly is blessed by having you...
Hopefully he knows and appreciates..

kah! Agwe mdala?

Mkalimani wachichi nagwe?

Hahahahahaha mpwapwa.

khaa! Ushakuwa disqualified. Lugha gani hyo.

Wala usione nyota na mbalamwezi. Hebu chungulia wamelala au bado

Haya haya hayo maneno hapo juu ni ya kwangu au umemdediketia nani

Si useme bana tuko wawili tuu hapa wakiamka kesho ngoma inakuwa ishatoka watabaki tuu kupiga kelele

Duh asante sana. Afadhali kiroho kimesshuka. Asante sana. Simwambii mtu bana

Duh asante sana. Afadhali kiroho kimesshuka. Asante sana. Simwambii mtu bana

Hhaahaha...haya nna uhakika sasa hivi hauko speechless tena...haya tusikie basi mawazo hayo!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…