Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wanajifanya wanajua mpira kumbe weupe tu mkuu.Watanzania tuna matatizo mengi mno waweza shindwa kujua uratue lipi kwanza.[emoji3][emoji3][emoji3]mpira ungekuwa hivi basi them zingebaki nyeupe, Jana Liverpool kafa 3 Kwa Brentford, kina Salah, Allison, Trent, Alcantara wangekuwa wauza karanga muda huu
hawa ni mbumbumbu,hata msimamo wa ligi hawautaki wao ni fei tuuMnadeal na mambo ya Fei mpaka mnasahau yanayo wahusu.
Sijaelewa,kwaiyo simba katolewa?pandeni mtumbwi wa vibwengo mrudi....mlandege kageuka MLASIMBA
msifanye vipimo kwenye uwanja wa njasi bandia. Fuatilia uchezaji wake siyoYaani kama wachezaji wenyewe ndio hawa waliokimbizwa mwanzo mwisho na mlandege, kocha wetu mpya kazi anayo, tena kubwa sana.
Tusitarajie kupata matokeo kwa kuwategemea akina kapombe, zimbwe, Sadio, Saido, Chama, Sakho, Mzamiru, Phiri, Bocco, Manula basi, hao wengine waliobakia ndio hao wametupa matokeo kule zanzibar, endeleeni na ukaidi viongozi wetu.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app