Ondoa haraka sana virusi Mwinuke, Okwa, Kapama, Kibu, Kiyombo, Mkude, Okrah, mtamtia matatizoni kocha mbrazil

Kuna huyu wa kuitwa okwa aisee hii ni takataka sijapata kuona,yaan ni mbovu mbovu mbovu na havumiliki ,kila akigusa Mali lazima aipoteze .
Kibu D hii takataka square ,toa kabisa .
Mkude Sina la kusema itoshe kusema ameisha.
 
[emoji3][emoji3][emoji3]mpira ungekuwa hivi basi them zingebaki nyeupe, Jana Liverpool kafa 3 Kwa Brentford, kina Salah, Allison, Trent, Alcantara wangekuwa wauza karanga muda huu
Watu wanajifanya wanajua mpira kumbe weupe tu mkuu.Watanzania tuna matatizo mengi mno waweza shindwa kujua uratue lipi kwanza.
 
Okrah aondolewe apelekwe wapi? Unavuta bangi.

Hilo kombe la mbuzi ni kuwachosha tu wachezaji, najua utopolo mna hasira na Simba kisa rafiki yenu Prison alikula wiki, sasa mmekuwa kama machizi mnajilazimisha kushangilia kila kitu..!!
 
Okrah si wa kutegemea sana...
Karibuni kapoteza kujiamini...
 
msifanye vipimo kwenye uwanja wa njasi bandia. Fuatilia uchezaji wake siyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…