Ondoa Mikosi Maishani Mwako kwa Chumvi

Sasa huyo chumvi ya mawe tunaipata wapi? Siku hizi chumvi iliyojaa madukani ni ile ya kwenye pakiti tu.
 
Aiseee

Your browser is not able to display this video.
 
Chumvi ya mawe means isiwe ya viwandani hii iloyowekwa iodine ,iwe chumvi halisi au maji ya chumvi bila kujali ni ya ziwa au baharini.Kuna chumvi ya maji na chumvi ya mawe zote sawa.Ukikosa chumvi tumia magadi yanafanya the same.
Maandiko yametumia chumvi kwa sababu ni rahisi kupata popote na kwa wingi kwa bei ndogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…